version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Unaangalia Umati au madani aliyozungumza?..hao wachache walikuja ndiyo wapo real kuliko wengi wanaoletwa na fuso na Pisho za elfu 10,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpumbavu na hujui chochote! Hizo HGA msingi wake ni IGA inayopingwa na watu wenye akili ! Hata kama HGA ikatamkwa miaka 30 ikiisha inabidi kuingiwa upya tena ( renewed) kwa mujibu wa IGA mpaka shughuli za bandari zitakapoisha!Waliompa ajenda ya Bandari ndo wamemuua kabisa kisiasa...
Soon HGA itakuja na miaka 30..
Atahama kutoka kusema mkataba WA milele kwenda miaka 30 mingi Sana....ataanza kudharaulika kuonekana anakurupuka kuongea vitu havijui...