Umaarufu wa Lissu unaporomoka? Angalia umati aliohutubia jana Dar es salaam

Umaarufu wa Lissu unaporomoka? Angalia umati aliohutubia jana Dar es salaam

Waliompa ajenda ya Bandari ndo wamemuua kabisa kisiasa...
Soon HGA itakuja na miaka 30..
Atahama kutoka kusema mkataba WA milele kwenda miaka 30 mingi Sana....ataanza kudharaulika kuonekana anakurupuka kuongea vitu havijui...
Hawezi kudharaulika kama wanavyodharaulika ccm
 
..wengine wanaweza kuamini kwamba kelele ya Lissu, Shivji, Slaa, Lipumba, Mwabukusi, ndio zimeilazimisha serikali isaini miaka 30 badala ya 100 au milele.

..pia Ccm haikomi kufanya madudu hivyo kila unapodhani Lissu atakosa la kusema Ccm na serikali huboronga na kumpa Lissu ajenda.
Afterall, Samia alitaka kumfunga Mbowe baada ya kelele za kina Lissu akalegea...

Hakutaka kabisa katiba mpya kiasi cha kukasirika mbele ya Kikeke alipoitamka lakini kelele za akina Lissu zilimfanya alegee....

Aligoma kuruhusu mikutano ya kisiasa eti aachwe ajenge uchumi kwanza baada ya kelele akalegea...

Hii ishu ya bandari kashalegea sanaaa... anatafuta tu pakuchomokea!
 
Mbona jamaa ana hoja nzuri mkuu,tatizo ni kuelekeza wananchi?
Huyo jamaa na wenzie wapo kwenye 'uislam' hakuna kingine wanachoona kwenye mkataba zaidi ya 'uislam' nchi ina watu wa hovyo sana.
 
Huyo jamaa na wenzie wapo kwenye 'uislam' hakuna kingine wanachoona kwenye mkataba zaidi ya 'uislam' nchi ina watu wa hovyo sana.
Halafu ajabu ni jamaa mkongwe tu hapa JF
 
Walio Mshauri Amponde Magufuli ndio alimpoteza. Lisu alitakiwa kuchukua Mazuri ya Magufuli.
 
watanzania wameshagundua majukwa ya chadema ni wanja wa pumba
 
Kabla ujahukumu ya Lisu fuatilia mikutano yaa katibu mkuu CCM na idida ya watu.
 
Anasilizwa sana hata kwenye mtandao wa kijamii tuliokuwa mpitimbi
Unajidanganya watz wengi hawapo mtandaoni sema unamsikiliza wewe mshamba kutoka singida

Nenda kwenye jambo lake kwa miaka yote aliyo kuwa mbunge kafanya nini?
 
Unajidanganya watz wengi hawapo mtandaoni sema unamsikiliza wewe mshamba kutoka singida

Nenda kwenye jambo lake kwa miaka yote aliyo kuwa mbunge kafanya nini?
Aisee mimi mjanja mjini toka kitambo wakati huo nilikuwa nasoma na mama yako
 
Back
Top Bottom