Waliompa ajenda ya Bandari ndo wamemuua kabisa kisiasa...
Soon HGA itakuja na miaka 30..
Atahama kutoka kusema mkataba WA milele kwenda miaka 30 mingi Sana....ataanza kudharaulika kuonekana anakurupuka kuongea vitu havijui...
Wewe ni mpumbavu na hujui chochote! Hizo HGA msingi wake ni IGA inayopingwa na watu wenye akili ! Hata kama HGA ikatamkwa miaka 30 ikiisha inabidi kuingiwa upya tena ( renewed) kwa mujibu wa IGA mpaka shughuli za bandari zitakapoisha!
Hivi nyie wajinga kwa nini hamtaki kuelewa wala kujipa nafasi ya kujifunza!?