Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.

image_search_1646644116936.jpg
 
Hangaya amejichanganya anafkr watu wanampenda , ndo atajua hajui, mbowe akiwa serious ataenda kugain momentum kubwa Sana , mana watu wamekata tamaa na utawala wa CCM wa watoto wa wafalme ni vile tu hawana best option , sasa option imeonekana mbna tutaenda igawana hii nchi
 
Mkuu moto unawaka soon.
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Huna nafasi ndani ya cdm my brother utaishia huko kupiga miayooo tu
 
Duh vituko hivi, atolewe kwa mkubwa kupigiwa magoti na kubembelezwa tena awe mkombozi?
 
Mimi nikimchukulia kama dikteta king'ang'anizi kwenye uongozi wa chama Nitakuwa NIMEKOSEA?
 
Duh vituko hivi, atolewe kwa mkubwa kupigiwa magoti na kubembelezwa tena awe mkombozi?
Kabisa..
Kama makaburu walivyo pigiwa magoti na kubembelezwa kumtoa ndani mkombozi Madiba😊
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Wabaya wake wamejaribu kila hila ya kumkwamisha Nguli huyo wa siasa Tanzania na duniani ila bado anapepea juu zaidi.Promo wanampa watesi wake mwenyewe kwa gharama zao na kutumia raslimali za Taifa kizembe zembe tu,eti wanamdhibiti Mbowe!
Umaarufu wa Mbowe na CDM unawafanya CCM na vikaragosi vyao walale bila kuvua viatu.Wanahaha ile mbaya.
Katiba ndiyo salama yao,wapende wasipende.
CDM na wananchi wenye mapenzi mema na nchi hii tuungane tuipate Katiba mpya.
 
Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.

Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.

Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Usigeuze Mawazo Yako Kuwa Ya Wengine.

Sio kila mtu anawaza mnavyowaza nyinyi wana Chadema.

Tuna vyama vingi vya Siasa nchini na kila mtu ana Opinion yake.
 
Hangaya amejichanganya anafkr watu wanampenda , ndo atajua hajui, mbowe akiwa serious ataenda kugain momentum kubwa Sana , mana watu wamekata tamaa na utawala wa CCM wa watoto wa wafalme ni vile tu hawana best option , sasa option imeonekana mbna tutaenda igawana hii nchi
Mbowe agombee 2025
 
..serikali ya Ccm imetenda udhalimu kwa Chadema kuliko waingereza walivyotenda kwa Tanu.

..kwa mfano, kamati kuu ya Tanu haikuwa na mfungwa wa kisiasa, majeruhi wa risasi za Muingereza, au aliyebambikiwa kesi ya ugaidi.

..kwa upande wa Chadema kuna mpaka viongozi wanawake wa Chadema waliofungwa na Ccm. Kuna majeruhi wa Ccm. Kuna waliobambikiwa kesi mbaya.

..Kwa hiyo ni sahihi kusema Ccm ni madhali kuliko wakoloni wa Kiingereza.
 
Umefanya machozi kunilenga
 
Kwa ishuu hii Mbowe 7 serikali 0 na imefedheka Sana.
Unapofanya jambo pima matokeo.
 
Back
Top Bottom