Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Vibaka waliokuwa wanamwita Mwamba kuwa ni gaidi sasa hivi wanamwita kuwa ni Mheshimiwa🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kijani una machozi gani? Ya mamba?Umefanya machozi kunilenga
Kwani kwenu ni wapi huko ambako hakuna CHADEMA. Muulize Kamanda Zero akupe taarifa za kiinteligensia.Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mchaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.
Na bado utapita majalala yoteMbowe hana umaarufu wowote ni gaidi tu hatabkjasma kalamba miguu ya pilato na kurudi uraiani kuhatarisha Taifa, atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea??
Umenza lini kumfuatilia Mbowe "SUKUMA GANG" mkubwa we na wenzio kina YEHODAYA, BIA YETU na wale wanafiki wengine kina NJAA, SHIBE na MAJANGA mmenusa mabadiliko ya upepo mnaanza kujipendekeza achaneni na Mbowe bana shikeni yenu ongezeni juhudiKila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Haya maneno yako ni sawa na hadithi ya fisi na mkono unaotaka kuanguka. Mbowe tangu miaka ya 2000 amekuwa katika harakati hizi hizi.Hangaya amejichanganya anafkr watu wanampenda , ndo atajua hajui, mbowe akiwa serious ataenda kugain momentum kubwa Sana , mana watu wamekata tamaa na utawala wa CCM wa watoto wa wafalme ni vile tu hawana best option , sasa option imeonekana mbna tutaenda igawana hii nchi
Haitotokea.!Hangaya amejichanganya anafkr watu wanampenda , ndo atajua hajui, mbowe akiwa serious ataenda kugain momentum kubwa Sana , mana watu wamekata tamaa na utawala wa CCM wa watoto wa wafalme ni vile tu hawana best option , sasa option imeonekana mbna tutaenda igawana hii nchi
Thubutuuuu He is a dead meatNi zaidi ya Nyerere.
Sema unayemtaka, WaTZ hatulitaki.![emoji16][emoji16]Mbowe ndio kiongozi tunayemtaka Tanzania.
Kwa jinsi Lissu alivyowahi kumchambua Nyerere kipindi kile bungeni bado unaona Mbowe hawezi kuwa zaidi ya Nyerere?Thubutuuuu He is a dead meat
Hao watu mashuhuri wa chadema umashuhuri wao umejileta tu wenyewe bila kupambana?.Huu wimbo wa ukabila wa chadema umeshakosa soko.tafuta wimbo mwingine.Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mchaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.
Haya maneno yako ni sawa na hadithi ya fisi na mkono unaotaka kuanguka. Mbowe tangu miaka ya 2000 amekuwa katika harakati hizi hizi.
Zinampa umaarufu wa muda tu, na unapotea haraka sana. Alianza kuandika makala gazeti la Tanzania Daima, zimefifia na kupotea kabisa.
Tulikua tukiaminishwa kuwa makaburu Afrika Kusini walikuwa makatili sana kwa watu weusi. Sawa. Nilijiuliza sana Mandela angekuwa mpinzani wa serikali ya Waafrika akafungwa. Angetoka baada ya miaka 27 angekuwa na hali gani? - kama angetoka hai.Hakuna aliyeteswa na mkoloni akidai uhuru na mkoloni hakumfunga mtu yeyote kwa kudai uhuru na alipoondoka magereza yetu hayakuwa na mfungwa wa kisiasa.
Natumaini hivi visanga anavyofanyiwa kama kuharibiwa shamba lake na kuvunjiwa pale Bilicanas havimkatishi tamaa. Anakuwa na moyo kama wa Simba.