Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mkuu moto unawaka soon.Hangaya amejichanganya anafkr watu wanampenda , ndo atajua hajui, mbowe akiwa serious ataenda kugain momentum kubwa Sana , mana watu wamekata tamaa na utawala wa CCM wa watoto wa wafalme ni vile tu hawana best option , sasa option imeonekana mbna tutaenda igawana hii nchi
Huna nafasi ndani ya cdm my brother utaishia huko kupiga miayooo tuKila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Wa kuuwasha yuko wapi?Mkuu moto unawaka soon.
Kabisa..Duh vituko hivi, atolewe kwa mkubwa kupigiwa magoti na kubembelezwa tena awe mkombozi?
usijione kuwa ww ndio una haki ya kuwa mwanachadema kuliko wanachadema wengine.Huna nafasi ndani ya cdm my brother utaishia huko kupiga miayooo tu
Wabaya wake wamejaribu kila hila ya kumkwamisha Nguli huyo wa siasa Tanzania na duniani ila bado anapepea juu zaidi.Promo wanampa watesi wake mwenyewe kwa gharama zao na kutumia raslimali za Taifa kizembe zembe tu,eti wanamdhibiti Mbowe!Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Usigeuze Mawazo Yako Kuwa Ya Wengine.Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Endelea kumeza mbaazi ili maisha yasongeusijione kuwa ww ndio una haki ya kuwa mwanachadema kuliko wanachadema wengine. Ile ID yako ya brazaj leo umeipumzisha kwanza?
UVCCM kuna saa mnakuwa na akili sanaKila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Mbowe agombee 2025Hangaya amejichanganya anafkr watu wanampenda , ndo atajua hajui, mbowe akiwa serious ataenda kugain momentum kubwa Sana , mana watu wamekata tamaa na utawala wa CCM wa watoto wa wafalme ni vile tu hawana best option , sasa option imeonekana mbna tutaenda igawana hii nchi
Anaweweseka. Ameona muda wa chawa kuondoka nguoni umewadia na walishazoea maisha hayo.Acha zako bhana.
Umefanya machozi kunilenga..serikali ya Ccm imetenda udhalimu kwa Chadema kuliko waingereza walivyotenda kwa Tanu.
..kwa mfano, kamati kuu ya Tanu haikuwa na mfungwa wa kisiasa, majeruhi wa risasi za Muingereza, au aliyebambikiwa kesi ya ugaidi.
..kwa upande wa Chadema kuna mpaka viongozi wanawake wa Chadema waliofungwa na Ccm. Kuna majeruhi wa Ccm. Kuna waliobambikiwa kesi mbaya.
..Kwa hiyo ni sahihi kusema Ccm ni madhali kuliko wakoloni wa Kiingereza.
Aliyemtoa ndie aliyemuweka ndaniDuh vituko hivi, atolewe kwa mkubwa kupigiwa magoti na kubembelezwa tena awe mkombozi?