maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,073
Ndo maana Mabeyo amerudisha kambini kwani Mzee wa Geita Mpooo anarudi.Mkuu moto unawaka soon.
Mbona mataga mwenzako unamuambia kimahaba hivyo bila kuvurumisha matusi?!Acha zako bhana.
Na ww endelea kuuza utu wako, kwa sababu ya njaa yako. Naona baada ya boss wenu kuachiwa sasa mnajipanga ili mje tena kivingine.Endelea kumeza mbaazi ili maisha yasonge
Safari hii sukuma gang gogo limewakwama hamna namna na tutaendelea kuwabana hadi msema nani aliwaingiza nchini kwetu.Na ww endelea kuuza utu wako, kwa sababu ya njaa yako. Naona baada ya boss wenu kuachiwa sasa mnajipanga ili mje tena kivingine.
View attachment 2142151
Hakuna aliyeteswa na mkoloni akidai uhuru na mkoloni hakumfunga mtu yeyote kwa kudai uhuru na alipoondoka magereza yetu hayakuwa na mfungwa wa kisiasa.Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Walimkamata kwa sababu kazi ya askari ni kukamata.Na ww endelea kuuza utu wako, kwa sababu ya njaa yako. Naona baada ya boss wenu kuachiwa sasa mnajipanga ili mje tena kivingine.
View attachment 2142151
Huyo ni taga mwenzako, anapiga propaganda tu, kwa hiyo usiogope!Usigeuze Mawazo Yako Kuwa Ya Wengine.
Sio kila mtu anawaza mnavyowaza nyinyi wana Chadema.
Tuna vyama vingi vya Siasa nchini na kila mtu ana Opinion yake.
Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mchaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Mcahaga ndio nini?Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mcahaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.
Rekebisha! Kwani daftari lako la darasa la tatu halina neno Masahihisho? Nimerekebisha. Unaonaje?Mcahaga ndio nini?
Wakupima matokeo Nani KingaiKwa ishuu hii Mbowe 7 serikali 0 na imefedheka Sana.
Unapofanya jambo pima matokeo.
[emoji1][emoji1][emoji1] eti huna chama yaani umshabikie Babu Tale, Lusinde, makonda, Chongoro,Sabaya, Ndugai ndo vichwa vya CCMCjui aloroga chadema ni nani. !!! Mimi sio wanasiasa lakini kuwasikiliza vijana wa chadema na viongozi wao unaona upuuzi ulio wa wazi kabisa.
Hata kama Ccm inafanya vibaya katika mambo fulani lakini ubaya Ccm.ni bora mara1000 kuliko uzuri wa chadema.
Mbaya alike Ccm ni nabii kujiunga chadema.
Wamemnadi Lowasa /Sumaye law mafisadi, walipojiunga chadema wakapewa wagombee uraisi kabisa ili sijui wakafanye nini wangefika ikulu!!!
Mkuu tutakuona ni tende na halua haluaMimi nikimchukulia kama dikteta king'ang'anizi kwenye uongozi wa chama Nitakuwa NIMEKOSEA?
Mbowe hana umaarufu wowote ni gaidi tu hatabkjasma kalamba miguu ya pilato na kurudi uraiani kuhatarisha Taifa, atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea??Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Haki inayopiganiwa zaidi ya siasa, Hata kwa mtazamo wako wa kawaida unaona kama kuna chama chenye mustakabali na wananchi? Au ni wanafanya yale yale, sio watawala sio wapinzani.Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.
Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania.
Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
View attachment 2141949
Mbowe ndio kiongozi tunayemtaka Tanzania.Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania.