Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

Vibaka waliokuwa wanamwita Mwamba kuwa ni gaidi sasa hivi wanamwita kuwa ni Mheshimiwa🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mchaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.
Kwani kwenu ni wapi huko ambako hakuna CHADEMA. Muulize Kamanda Zero akupe taarifa za kiinteligensia.
 
Umenza lini kumfuatilia Mbowe "SUKUMA GANG" mkubwa we na wenzio kina YEHODAYA, BIA YETU na wale wanafiki wengine kina NJAA, SHIBE na MAJANGA mmenusa mabadiliko ya upepo mnaanza kujipendekeza achaneni na Mbowe bana shikeni yenu ongezeni juhudi

Najua CCM hawahitaji tena waramba viatu wa Magufuli jaribu kwenda ACT kwa yule dalali wa vyumba Kigoma anaweza kukusaidia nafasi ya udalali mjaribu bahati yenu
 
Haya maneno yako ni sawa na hadithi ya fisi na mkono unaotaka kuanguka. Mbowe tangu miaka ya 2000 amekuwa katika harakati hizi hizi.

Zinampa umaarufu wa muda tu, na unapotea haraka sana. Alianza kuandika makala gazeti la Tanzania Daima, zimefifia na kupotea kabisa.
 
Haitotokea.!
 
Siku mukiacha ushabiki wa kikabila, CHADEMA itapaa. Hii ya kila mtu mashuhuri lazima awe mchaga mumeiponza CHADEMA. Haitainuka mikoa ya wengine.
Hao watu mashuhuri wa chadema umashuhuri wao umejileta tu wenyewe bila kupambana?.Huu wimbo wa ukabila wa chadema umeshakosa soko.tafuta wimbo mwingine.
 
Umaarufu umepanda vipi tena wakati ulituambia kwenye uzi mwingine ameshanunuliwa hawezi kupigania Katiba Mpya?
 


AMEN
 
Hakuna aliyeteswa na mkoloni akidai uhuru na mkoloni hakumfunga mtu yeyote kwa kudai uhuru na alipoondoka magereza yetu hayakuwa na mfungwa wa kisiasa.
Tulikua tukiaminishwa kuwa makaburu Afrika Kusini walikuwa makatili sana kwa watu weusi. Sawa. Nilijiuliza sana Mandela angekuwa mpinzani wa serikali ya Waafrika akafungwa. Angetoka baada ya miaka 27 angekuwa na hali gani? - kama angetoka hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…