Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Kusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti kivile,inshort Mavoko wa WCB karudi hatua 75 nyuma....anyway waswahili tunasema bora kujiajiri kuliko kuajiriwa japokuwa wengi wengi tu kuna faida yake.
 
Ahaha bilionea kids ana tamaa sana mi nawashangaa sana hawa bongo fleva kila mtu anamiliki lebo yake ili nayeye amiliki wenzake,mavoko alipotea sana mond kamfufua baada ya kupata milioni moja moja za show akaanza kusema ananyonywa,sijui alikuwa anyonywa ndogo au vipi?
 
Wapenda majina utawajua tuu, badala ya kufanya uchambuzi wa kazi zake unafanya uchambuzi wa jina!

RIP
 
Mmmh si mlielewana msimtaje taje huyu mtu bado tu anawauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…