Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

Kusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti kivile,inshort Mavoko wa WCB karudi hatua 75 nyuma....anyway waswahili tunasema bora kujiajiri kuliko kuajiriwa japokuwa wengi wengi tu kuna faida yake.View attachment 973828

karudi nyuma, ataenda mbele

ulichofanya ni kurecord downfall yake, its normal katika maisha kupanda na kushuka mkuu

atapanda na wezele iko poa, na maadam unasema hana promo, basi atafanya

we need more talents na sio wcb wasafi tu

ladha zinatakiwa za mchele mbeya,.moroforo, bismat....

wcb haipendwi na kila mtu, na haitakaa itokee ikapendwa na kila mtu
 
ok
 
Tofauti miongini kwa tofauti tulizo nazo wanadamu nikuwa wapo wanaosamini zaidi vitu kulilo watu na wapo pia wanasamini zaidi utu kuliko kitu hivyo sikuzoze ukitaka wawili hawa waamini unachokiamini lazima mmoja wao utamuona sio muelewa kumbe ni wewe ndie hujaelewa.
 
Watu bwana.. Sasa mavoko angebaki wasafi mpaka lini???... na yeye anataka kuanzisha cha kwake.. sio kuwa chini ya mtu tena....tatizo wabongo tunapenda kutawaliwa sana badala ya kujiongoza wenyewe!!... 🏃 🏃
 
Back
Top Bottom