Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Aya ngoja akiludi mahana hana miyezi miine hajaja?
[emoji23][emoji23][emoji23] Msarimie??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] Msarimie??
😂😂😂 Niachie mbavu zangu salama msimu wa sikukuu huu Mkuu jaman.!!Aya ngoja akiludi mahana hana miyezi miine hajaja?
[emoji23][emoji23][emoji23] Niachie mbavu zangu salama msimu wa sikukuu huu Mkuu jaman.!!
I'm dying oooooh'.!!😂😂😂😂😂😂Hulitaka kumuwona Dura hila hamekuja hunasema nikuwache? Husije kumumisi tena dura? Hulale vizuri husilale na guo?
Mumbona huliandinka kitu arafu umefutwa? Hulihandika nini?I'm dying oooooh'.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀Hulitaka kumuwona Dura hila hamekuja hunasema nikuwache? Husije kumumisi tena dura? Hulale vizuri husilale na guo?
Jamaa kaporokoka sana. Yani huwezi amini hata nyimbo zake sizijui.Kusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti kivile,inshort Mavoko wa WCB karudi hatua 75 nyuma....anyway waswahili tunasema bora kujiajiri kuliko kuajiriwa japokuwa wengi wengi tu kuna faida yake.View attachment 973828
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mavoko alizingua sana..!!Jamaa kaporokoka sana. Yani huwezi amini hata nyimbo zake sizijui.
Na mimo ni msikilizaji mkubwa redio. Ina mana hazipigwi na haziombwi na watu.
Yaani kiukweli bora angekuwa hakuendaga kabisa wcb lakini kitendo cha kuingia na kutoka kilimuaribia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mavoko alizingua sana..!!
Siyo kazi rahisi kumantain haijalishi unajua kuimba yani kujua kuimba na kuwa on top of the game ni vitu viwili tofautiKusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti kivile,inshort Mavoko wa WCB karudi hatua 75 nyuma....anyway waswahili tunasema bora kujiajiri kuliko kuajiriwa japokuwa wengi wengi tu kuna faida yake.View attachment 973828
Richard ni mvivu na hajui kujibrand wala.kuzipa promo nyimbo zake,anapitwa hata na ChemicalSiyo kazi rahisi kumantain haijalishi unajua kuimba yani kujua kuimba na kuwa on top of the game ni vitu viwili tofauti
Kabisa bora asingeingia kabisa Wcb...Yaani kiukweli bora angekuwa hakuendaga kabisa wcb lakini kitendo cha kuingia na kutoka kilimuaribia.
Nilimuaona kipindi flani mtandaoni amepungua sana kiukweli.
Jmaaan rafiki aqe Dura??😂😂 Nilipost comment twice!!Mumbona huliandinka kitu arafu umefutwa? Hulihandika nini?
Mkuu nacheka km sina akili.. am so addicted to Dura????😂😂😀😀😀
Hulitaka
kumuwona
hila
hamekuja
hunasema
nikuwache
husije
kumumisi
hulale
😁😁😁 very fun
sharo?Alichokosea ni kujiita Billionea, watu wanafikiri ni yule marehemu.