Umaarufu wa Rich Mavoko umeporomoka sana

Hulitaka kumuwona Dura hila hamekuja hunasema nikuwache? Husije kumumisi tena dura? Hulale vizuri husilale na guo?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hulitaka
kumuwona
hila
hamekuja
hunasema
nikuwache
husije
kumumisi
hulale
😁😁😁 very fun
 
Jamaa kaporokoka sana. Yani huwezi amini hata nyimbo zake sizijui.

Na mimo ni msikilizaji mkubwa redio. Ina mana hazipigwi na haziombwi na watu.
 
Jamaa kaporokoka sana. Yani huwezi amini hata nyimbo zake sizijui.

Na mimo ni msikilizaji mkubwa redio. Ina mana hazipigwi na haziombwi na watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mavoko alizingua sana..!!
 
Siyo kazi rahisi kumantain haijalishi unajua kuimba yani kujua kuimba na kuwa on top of the game ni vitu viwili tofauti
 
Alichokosea ni kujiita Billionea, watu wanafikiri ni yule marehemu.
 
Siyo kazi rahisi kumantain haijalishi unajua kuimba yani kujua kuimba na kuwa on top of the game ni vitu viwili tofauti
Richard ni mvivu na hajui kujibrand wala.kuzipa promo nyimbo zake,anapitwa hata na Chemical
 
Wekeza pesa upate pesa,inategemea garama anazotumia kujitangaza hazifikii malengo yanayotakiwa.
 
anaunga tela la Z.anto,MB dogg,Tunda man na wengineo ambao waliponyoka mikononi Mwa watu Kama Said Fella na Taletale na wakaishia kuwaimbia masela tu mitaani japokua Ni wasanii wazuri
 
Bora ahamie kwenye kuimba singeli atasikika sana uswahilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…