Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
- Thread starter
-
- #41
Mchizi pupa papara,halafu dada ake alikua anazidi kumtia jeuri,sasa hivi kmuacha peke yakeJamaa kaporokoka sana. Yani huwezi amini hata nyimbo zake sizijui.
Na mimo ni msikilizaji mkubwa redio. Ina mana hazipigwi na haziombwi na watu.
haya dio madhara ya kukubali watu wakushike maskioMchizi pupa papara,halafu dada ake alikua anazidi kumtia jeuri,sasa hivi kmuacha peke yake
Hunanifanya nikamu ni tamu yeyeee! Uwo wimbo dura hanao.Jmaaan rafiki aqe Dura??[emoji23][emoji23] Nilipost comment twice!!
Kusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti kivile,inshort Mavoko wa WCB karudi hatua 75 nyuma....anyway waswahili tunasema bora kujiajiri kuliko kuajiriwa japokuwa wengi wengi tu kuna faida yake.View attachment 973828
alizingua nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mavoko alizingua sana..!!
okkarudi nyuma, ataenda mbele
ulichofanya ni kurecord downfall yake, its normal katika maisha kupanda na kushuka mkuu
atapanda na wezele iko poa, na maadam unasema hana promo, basi atafanya
we need more talents na sio wcb wasafi tu
ladha zinatakiwa za mchele mbeya,.moroforo, bismat....
wcb haipendwi na kila mtu, na haitakaa itokee ikapendwa na kila mtu
alizingua nini??
Hahaha unazani kuwa wako foleni kumbe MTU analiwaHuwa anakula wale wanaosingizia foleni.
Nani tena huyo mkuu alietajwa?Mmmh si mlielewana msimtaje taje huyu mtu bado tu anawauma
Kwani Dura hajaenda Itaria kwa mjomba wake?Hunanifanya nikamu ni tamu yeyeee! Uwo wimbo dura hanao.
Mujomba mala ya muisho alisema hangekuja hila dariri zinahonesha aji tena?Kwani Dura hajaenda Itaria kwa mjomba wake?
kwenda wasafi....pili kutoka Wasafi hapo ndo alijizikaa jumlaa..!![emoji1787][emoji1787]
😂😂Bora Dura abaki tu na Bibi yake iri asirogwe?Mujomba mala ya muisho alisema hangekuja hila dariri zinahonesha aji tena?
but he need to make more strategies to mantain his status,otherwise he is a deadly creature,which is not good for himmistakes happen mkuu
kutoka hajakosea,
life