Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
oooooh mzee mwenzangu acha utani bana...mbn tulioneshwa na risiti ya DHL kuwa rufaa ishafika?..hivi kwann wanatufanyia hivi hawa viongozi?au ndio kama alivyosema mwenyekiti Rage?Bora ingeenda lakini isifike. ......haikupelekwa kabisaaaaa wameingizwa mjin hao
kwakuwa ni virabu sidhani kama kuna wa kupinga hapo.Hakuna ukata ndani ya yanga kama mnavofikiria watu,Timu inayolipa mishahara mikubwa ni yanga kuliko virabu vyotee tz
Umeongea point mkuuWhats so special kwake
Mm ni mnyama, lkn huu upuuzi sikubaliani nao kabisa....Million 100 kwa Niyonzima ni hadithi ya kusadikika. Kwa hiyo hela ya sportpesa itaisha kwenye usajili tu?
Ukiona timu inapewa hela za usajili jua hyo mchezaji ana mkataba na timu hyo ila ukiona mchezaji anapewa hela za usajil jua ypo huru hana mkataba na timu yyteMi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Inapokuwa hivyo ujue mchezaji bado yupo ndani ya mkataba. Hicho kiasi kinacholipwa ni cha kuvunja mkataba pamoja na gharama nyingine zitakazojitokeza. Iwapo mchezaji yupo huru ( ameshamaliza mkataba na timu yake ya zamani) malipo kwa klabu hayapo.Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Hakuna ukata ndani ya yanga kama mnavofikiria watu,Timu inayolipa mishahara mikubwa ni yanga kuliko virabu vyotee tz
Sio Bongo ni sehemu zote we huoni wenga kila siku nafanyiwa umafya na timu zenye pesaUsajili wa Bongo kama wa kukomoana.
Hana mkataba ndo maanaMi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Kutesa kwa zamu japo ni msemo wa zamaniLazima washangilie,mara ya mwisho Simba kusajili mchezaji toka Yanga sijui ilikuwa lini.Lakini Yanga kila wakimtaka mchezaji wa Simba wanamsajili
Ni wa milioni ngapi? Iyo hela haifiki mshahara wa wiki uko majuuUjinga tuu huo huyo ni mchezaji wa milioni 100 kweli.