Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

Bora ingeenda lakini isifike. ......haikupelekwa kabisaaaaa wameingizwa mjin hao
oooooh mzee mwenzangu acha utani bana...mbn tulioneshwa na risiti ya DHL kuwa rufaa ishafika?..hivi kwann wanatufanyia hivi hawa viongozi?au ndio kama alivyosema mwenyekiti Rage?
 
Million 100 kwa Niyonzima ni hadithi ya kusadikika. Kwa hiyo hela ya sportpesa itaisha kwenye usajili tu?
Mm ni mnyama, lkn huu upuuzi sikubaliani nao kabisa....
Fanya km Azam, mshahara mwisho ni 2M na ada ya kununua au renew mwisho 10M basi kama hutaki nenda zako. Tutapata wachezaji wazuri, wachanga na wenye nia ya kweli kucheza sio hawa wa biashara na maonyesho !!

Lkn ndiyo watu wanawatumia kupiga dili halaf wengine wanashangilia ...mwisho wa siku ubingwa 0 !! FIFA vipi mbona hatuambiwi majibu ??
 
Hiyo Pesa Sijui Atapewa Lini
Najua Hapo Ni Kekundu Tu
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Ukiona timu inapewa hela za usajili jua hyo mchezaji ana mkataba na timu hyo ila ukiona mchezaji anapewa hela za usajil jua ypo huru hana mkataba na timu yyte
 
Imethibitika Niyonzima mkataba wake na Yanga unaisha mwakani anayemtaka anapaswa kumnunua kutoka Yanga, tofauti na Ajib mkataba wake Simba ulikuwa umekwisha.
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Inapokuwa hivyo ujue mchezaji bado yupo ndani ya mkataba. Hicho kiasi kinacholipwa ni cha kuvunja mkataba pamoja na gharama nyingine zitakazojitokeza. Iwapo mchezaji yupo huru ( ameshamaliza mkataba na timu yake ya zamani) malipo kwa klabu hayapo.
 
Yanga ni wanga sana. Hakuna mchezaji aliyetoka yanga kwenda simba kwa vulugu halafu akacheza soka nzuri.mf. chuji, garincha, nk
 
Lazima washangilie,mara ya mwisho Simba kusajili mchezaji toka Yanga sijui ilikuwa lini.Lakini Yanga kila wakimtaka mchezaji wa Simba wanamsajili
Kutesa kwa zamu japo ni msemo wa zamani
 
HUU USAJILI WA SIMBA NA YANGA NI MAZINGAOMBWE TU
 
Back
Top Bottom