Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

sawa tutaona yaani nipashe awe source kushinda blog zote za umbea bongo itakuwa maajabu ya kichina haya
Mkuu nasalimu.. Na source ya Yanga FC leo kuhusu Niyonzima inasemaje?
 
Ha ha ha poa mkuu.. Zamu yako kumeza mate sisi huku tukila nyama

Tukutane uwanjani...!
haahaaaahh kumbe kwako ndio usajili wakukata na shoka,mimi nachukua makinda kama Ajib matunda yake nakula mpaka yanakinai niyo lishakuwa gari la mkaa
 
haahaaaahh kumbe kwako ndio usajili wakukata na shoka,mimi nachukua makinda kama Ajib matunda yake nakula mpaka yanakinai niyo lishakuwa gari la mkaa
Ha ha Sizitaki mbichi hizi... Na huyo nimpe jezi Nyekundu au nikuachie!?
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Basi utakuwa huelewi mpira chief hata ulaya mchezaji akimaliza muda wa mkataba wake dau la usajili analipokea yeye.
Ulichozoea kukiona kinapokelewa na club ni gharama za kuvunja mkataba kabla muda wa mkataba na mchezaji haujaisha..
 
Sijawahi kuzielewa Simba na Yanga wacha tu nibaki na Babu yetu Wenger
 
No ya nini?
Aaah mkuu kumbuka, ulisema hakuna lolote ni magazeti tu kuhusu Niyonzima, sasa tayari Msimbazi ndio maana nikakuliza namba ya jezi ngapi apewe?

Au sijakuelewa last comment
 
Aaah mkuu kumbuka, ulisema hakuna lolote ni magazeti tu kuhusu Niyonzima, sasa tayari Msimbazi ndio maana nikakuliza namba ya jezi ngapi apewe?

Au sijakuelewa last comment
Nilimaanisha sifa za magazeti na siyo kwamba ni mchezaji hatari sn, ni wakawaida sana.
 
Halaf anayetoa dau ni tajiri sio timu!
Mkuu hizi club kongwe nchini yaani Simba na Yanga zina tatizo moja la kudumu; mara nyingi hili la SImba tajiri mmoja kusajiri wacheza/mchezaji wake ni la kawaida sana miaka dahari na dahari kwa Yanga sio kawaida kiviiile. Ukitokeaga mgogoro wowote wa uongozi ndani ya Simba mara nyingi utakuata hata matokeo ya uwanjani hua yanakua hafifu sana hata kama wachezaji wanaendelea kupokea mishahara yao, Yanga wanaweza kua na mgogoro wa kiuongozi but matokeo yao ya uwanjani hua sio mabaya kiiivle kama Simba. Hua najiulizaga labda hao matajiri walio sajiri nao hua na upande and hence wanawaambia wachezaji wao walio wasajiri kua nao waanze ku under perform? Sijui but labda.....!
 
Yanga hawajapigwa butwaa wao walimpa dau akataka kubwa wakaamua kupotezea
 
Ha ha Sizitaki mbichi hizi... Na huyo nimpe jezi Nyekundu au nikuachie!?
haahaaa mwanangu nyie simlikuwa mnaita haya magalasa au sio nyie wanasimba,chukua mwanangu kukupiga kukopalepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…