Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
salama ndugu nimeiona taarifaMkuu nasalimu.. Na source ya Yanga FC leo kuhusu Niyonzima inasemaje?
haahaaaahh kumbe kwako ndio usajili wakukata na shoka,mimi nachukua makinda kama Ajib matunda yake nakula mpaka yanakinai niyo lishakuwa gari la mkaaHa ha ha poa mkuu.. Zamu yako kumeza mate sisi huku tukila nyama
Tukutane uwanjani...!
Basi utakuwa huelewi mpira chief hata ulaya mchezaji akimaliza muda wa mkataba wake dau la usajili analipokea yeye.Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
No ya nini?Mkuu tumpe jezi namba ngapi.. Au na leo unasema magazeti?
Halaf anayetoa dau ni tajiri sio timu!Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Mkataba kama hujaisha anapewa timu na mchezajiMi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Mkataba kama hujaisha anapewa timu na mchezajiMi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Nilimaanisha sifa za magazeti na siyo kwamba ni mchezaji hatari sn, ni wakawaida sana.Aaah mkuu kumbuka, ulisema hakuna lolote ni magazeti tu kuhusu Niyonzima, sasa tayari Msimbazi ndio maana nikakuliza namba ya jezi ngapi apewe?
Au sijakuelewa last comment
Mkuu hizi club kongwe nchini yaani Simba na Yanga zina tatizo moja la kudumu; mara nyingi hili la SImba tajiri mmoja kusajiri wacheza/mchezaji wake ni la kawaida sana miaka dahari na dahari kwa Yanga sio kawaida kiviiile. Ukitokeaga mgogoro wowote wa uongozi ndani ya Simba mara nyingi utakuata hata matokeo ya uwanjani hua yanakua hafifu sana hata kama wachezaji wanaendelea kupokea mishahara yao, Yanga wanaweza kua na mgogoro wa kiuongozi but matokeo yao ya uwanjani hua sio mabaya kiiivle kama Simba. Hua najiulizaga labda hao matajiri walio sajiri nao hua na upande and hence wanawaambia wachezaji wao walio wasajiri kua nao waanze ku under perform? Sijui but labda.....!Halaf anayetoa dau ni tajiri sio timu!
haahaaa mwanangu nyie simlikuwa mnaita haya magalasa au sio nyie wanasimba,chukua mwanangu kukupiga kukopalepaleHa ha Sizitaki mbichi hizi... Na huyo nimpe jezi Nyekundu au nikuachie!?![]()
Poa mkuuAsante..!
Million 100 kwa Niyonzima ni hadithi ya kusadikika. Kwa hiyo hela ya sportpesa itaisha kwenye usajili tu?