[emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya Simba Koko ni mdomo wakati wa usajili, lakini tukifika uwanjani mnamshushia lawama Malinzi. Kwani Hamisi Kiiza si tuliwauzia sisi pia? Yuko wapi?
Sisi Tambwe wetu tunaye na anatupia mijibao na nyinyi ni mashahidi. Endeleeni kupiga mdomo, sisi tunaelekea ubingwa wa 28
I wonder, manake hata pale yanga ni mara chache alikuwa akipata full time,mara nyingi hucheza na kutolewa au huingia akitokea bench.
Kamusoko anaweza kucheza sita,Ajib akashuka nane,Ngoma kumi,tisa Chirwa au Tambwe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Malalamiko FC
Niyonzima amepewa m 80,kwa minajili hiyo pesa cmba wana uhakika ya kuirudisha siku ya bonanza lao la cmba day,lkn nguvu kubwa iliyotumika kumsajili huyu ni zuga tu kwa wanachama wao maana uchaguzi unakaribia,uongozi wa cmba uliopo ss ulijinadi ya kwamha utajenga uwanja wa bunju na wataiwezesha timu yao kuchukua ubingwa,ndani ya uongozi mpk ss hawajajenga uwanja hata wa mazoezi,na ubingwa hawajachukua,so ili warudi madarakani lzm wawafumbe macho jamaa zao kwa kuwapelekea niyonzima,na kwa hili kwa hawa jamaa zetu walivyo wepesi wa kudanganywa watawarudisha madarakani tenaMillion 100 kwa Niyonzima ni hadithi ya kusadikika. Kwa hiyo hela ya sportpesa itaisha kwenye usajili tu?
Wewe unao Uwanja? au hustahiki kuwa na uwanja mpaka kulaumu wenzako, maneno meeengi lakini pumba...Mchezaji mmoja tu povu limejaa Jangwa mzima ...This is Simba bhanaNiyonzima amepewa m 80,kwa minajili hiyo pesa cmba wana uhakika ya kuirudisha siku ya bonanza lao la cmba day,lkn nguvu kubwa iliyotumika kumsajili huyu ni zuga tu kwa wanachama wao maana uchaguzi unakaribia,uongozi wa cmba uliopo ss ulijinadi ya kwamha utajenga uwanja wa bunju na wataiwezesha timu yao kuchukua ubingwa,ndani ya uongozi mpk ss hawajajenga uwanja hata wa mazoezi,na ubingwa hawajachukua,so ili warudi madarakani lzm wawafumbe macho jamaa zao kwa kuwapelekea niyonzima,na kwa hili kwa hawa jamaa zetu walivyo wepesi wa kudanganywa watawarudisha madarakani tena
Wewe uko nchi gani? Inamaana chipukizi wote wale huwaoni?Kwanini simba in as ajili veterans .?
Ngoja nikupe LIKES....[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya Niyonzima.. Pigo lingine kufuata Jangwani.. This is Simba bhana
Walishindwa kukuza vipaji....Maana ndio uliokuwa wimbo wao....[emoji23][emoji23][emoji23]Aging population ndo mnaijaza msimbaz aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]Aging population ndo mnaijaza msimbaz aisee
Domayo.Chuji.Ngasa kuondoka Yanga ..Yanga wamechukuwa kombe mara ngapi?ukiwa na jibu ...mchukueni Ngoma na Msuva ila warning tukutane May 2018 Cannavaro akinyanyua kwapaBaada ya Niyonzima.. Pigo lingine kufuata Jangwani.. This is Simba bhana
Thubutuu.. Mna nguvu tena nyinyi, mmechoka sasa na subirini kurejea kwa zile TANO..[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] shubamitDomayo.Chuji.Ngasa kuondoka Yanga ..Yanga wamechukuwa kombe mara ngapi?ukiwa na jibu ...mchukueni Ngoma na Msuva ila warning tukutane May 2018 Cannavaro akinyanyua kwapa
Ubishani wako umefanania wavaa dera. Hakusema kuwa yeye ana uwanja, alisema kufuatia ahadi ya uongozi wa Simba. Tumia akili yako angalau mara moja kwa mwaka kuizuia isioze.Wewe unao Uwanja? au hustahiki kuwa na uwanja mpaka kulaumu wenzako, maneno meeengi lakini pumba...Mchezaji mmoja tu povu limejaa Jangwa mzima ...This is Simba bhana
huyo yuko huru kashamaliza mkataba na yanga.Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Acha upunguani wewe. Kwani Mwenyekiti wenu hawakuwahi kuahidi uwanja wa kisasa pale bwawani je umejengwa? Hifadhi Kumbukumbu wewe japo kidogo.. Aaagh, Nguvu nyingi akili kama Nyumbu.Ubishani wako umefanania wavaa dera. Hakusema kuwa yeye ana uwanja, alisema kufuatia ahadi ya uongozi wa Simba. Tumia akili yako angalau mara moja kwa mwaka kuizuia isioze.
Niyonzima si mkubwa zaidi ya Yanga. Yanga ilikuwepo kabla ya Niyonzima na itaendelea kuwepo. Kumsajili mchezaji ni jambo la kwanza, lakini kupata unachotaka kutoka kwake ni jambo la pili. Yanga ina wachezaji wengi zaidi kutoka Simba, lakini hatujawahi kubana pua kama watoto wa kike...sisi tuko bize na kazi yetu ambayo ni KUCHUKUA MAKOMBE.
Anayetumia nguvu nyingi ni wewe unayebold maneno wakati hoja iko wazi. Kwani unadhani Rage alikosea aliposema wengi wenu MBUMBUMBU? Mmedanganywa kuwa FIFA watawapa ubingwa mkakaa kama misukule nmkisubiri, sasa picha limefika kikomo mnadanganywa kwa usajili wa Niyonzima...hata Hamisi Kiiza si alikuja kwa mbwembwe hizi hizi?Acha upunguani wewe. Kwani Mwenyekiti wenu hawakuwahi kuahidi uwanja wa kisasa pale bwawani je umejengwa? Hifadhi Kumbukumbu wewe japo kidogo.. Aaagh, Nguvu nyingi akili kama Nyumbu.