Ubishani wako umefanania wavaa dera. Hakusema kuwa yeye ana uwanja, alisema kufuatia ahadi ya uongozi wa Simba. Tumia akili yako angalau mara moja kwa mwaka kuizuia isioze.
Niyonzima si mkubwa zaidi ya Yanga. Yanga ilikuwepo kabla ya Niyonzima na itaendelea kuwepo. Kumsajili mchezaji ni jambo la kwanza, lakini kupata unachotaka kutoka kwake ni jambo la pili. Yanga ina wachezaji wengi zaidi kutoka Simba, lakini hatujawahi kubana pua kama watoto wa kike...sisi tuko bize na kazi yetu ambayo ni KUCHUKUA MAKOMBE.