U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

Ndiyo ile kusema "Watanzania hawajui walitakalo" Wakati yuko hai alikuwa akipingwa na hao hao kila kukicha
 
Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”

Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”

Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”

Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.

Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾

Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Mnatuchukuliaje lakini waTz?
 
Naomba Magufuli asifananishwe na takataka za jalalani tafadhari sana.

Adabu itawale.kama hamuwezi kumuongelea kwa mema basi fungeni hayo matako yenu pumbavuu
 
What’s good for the Goose is good for the Gander !
Ngoja Tusubiri tuone 🙄😳 !
 
Sasa hivi ni mwendo wa kushughulikiana humo kwa humo.... Wauwane tu..... 🤣 😂
 
Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”

Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”

Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”

Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.

Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾

Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Wapambe wa Mwigulu kazini 😂😂

Tafuteni wajinga wenzenu huko.
 
Back
Top Bottom