Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,013
Baada ya kufariki Makamo wa kwanza Maalim seif sharif Hamad, Kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale kuhusu ni nani atakae weza kuvaa viatu japo nusu, vya marehemu Maalim Seif, mpaka sasa majina ni mawili, Juma Duni na Othman Masoud Ambae aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wakati wa DR Shein.

Othman Masoud alitumbuliwa kutokana na misimamo yake ya kutetea katiba ya Zanzibar na maslahi ya Zanzibar katika bunge la katiba mpya.

Bwana Othman hakujali maslahi yake binafsi na kuweka uzalendo zaidi, sikiliza mahojiano yake juu ya serikali ya umoja wa kitaifa akitoa maoni yake.

Mimi binafsi namkubali huyu kijana mwenzangu, kwanza ni msomi wa kweli, mzalendo na yupo tayari kutetea maslahi ya Zanzibar, naamini kama atapata fursa ya kuwa makamo ataweza kumshauri Mwinyi na kumsaidia katika kuwaletea maendeleo wazanzibari.
 
Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
Mbona unachachawa?
 
Mbona unachachawa?

Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.

Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.

Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.

He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitakazomridhisha.
 
Sidhani kama huyo Othman Masoud atapewa hiyo nafasi, kilichosababisha Seif apewe licha ya "usumbufu" wake ilikuwa ni uungwaji mkono mkubwa aliokuwa nao toka kwa wafuasi wake, hii ikasababisha CCM ione aibu kama wasingempa wasingeeleweka.

Lakini huyo Masoud kwanza hana ushawishi kama ilivyokuwa kwa Seif, lakini pia, itakuwa ni vigumu kwa Mwinyi kufanya kazi na mtu wasiefanana mitazamo, itakuwa ngumu kuaminiana, asijepewa hayo majukumu ghafla akaibuka na ajenda yake tofauti.
 
Duni hamna kitu. Zanzibar inahitaji kwenda mbele, Hata Mwinyi atamhitaji Othman Masoud. Kuwapa nafasi hiyo watu kama Juma Duni, na akina Ismail Jussa ni kuchagua kurudi nyuma.

Ila wahafidhina ndani ya CCM sidhani kama CCM watamhitaji Othman.
 
Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.

Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.

Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.

He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; because for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitazomridhisha.

Kwani huo Muungano ukivunjwa Una shida gani??Wewe inakuuma nini ukivunjwa?
 
Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
Kifupi mleta mada hii ni yeye mwenyewe anajipigia debe!

Kuhusu uwezo wake ni kuwa Othman Masoud huyu sio mwanasiasa hasa ni muislamu mwenye siasa kali!!! ambaye angependa zaidi zanzibar iwe nchi ya kiislamu ya siasa kali .Hakubaliani na uislamu wa wastani ulioko Zanzibar ni mfuasi wa Mashehe wa uamsho tpfauti na Maalim Seif ambaye agenda yake kuu ilikuwa kutaka wapemba washike serikali Zanzibar.Maalim Seif kwa wapemba alikuwa ndie Raisi wao wa wapemba.Ndo maana hata angekuwa kalala ICU wangempa kura. Othman Masoud yeye mlengo wake si wa kisiasa hasa yeye mlengo wake ni wa kidini wa siasa kali zaidibangependa waislamu wa siasa kali washike Zanzibar

Kutokana na misimo yake ya kidini ya siasa kali aweza hata jilipua huyo kwenye vikao vya kiserikali ni mtu yuko tayari kwenda ahera wakati wowote akimpigania Allah ni high risk kuwa naye karibu sababu ya imani kali ya kidini hatarishi ialiiyonayo.He is not a politician but a high risk religuous fanatic

Huyu hakuwa hasa mfuasi wa Maalim Seif bali wa kikundi cha imani kali cha kidini ya kiislamu kilichojificha ndani ya chama ambacho Maalim Seif hakuwa sehemu yake hasa sababu yeye mlengo wake mkuu ulikuwa tu kutaka wapemba washike dola kwenye msimamo wa imani kali ya idini huko haukuwa mlengo wake tofaut na Othman Masoudi ambaye mlengo wake ni kutaka waislamu wenye imani kali washike dola bila kujali ni wapemba au waunguja
 
Back
Top Bottom