Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,073
- 6,909
Sina kumbukumbu kama kuna siku ashawahi kuelewa mambo yanahitaji kutumia akili na sio elimu.Give it time utaelewa
Sina kumbukumbu kama kuna siku ashawahi kuelewa mambo yanahitaji kutumia akili na sio elimu.Give it time utaelewa
Tafuta interview zake asilimia kubwa za sheria alizozigomea Salmini Amour kutoka bara ndani ya muda wake nyuma ya ushauri alikuwa huyo bwana; and he hasn’t change his viewpoint in the slightest.Mpaka amekubali uteuzi ni kwamba ashalegea
hahahahahaaaaa kumbe unamfahamu.Tafuta interview zake asilimia kubwa za sheria alizozigomea Salmini Amour kutoka bara ndani ya muda wake nyuma ya ushauri alikuwa huyo bwana; and he hasn’t change a bit.
Nasikiliza interview zake he is not boring to listen too, but dangerous.hahahahahaaaaa kumbe unamfahamu.
nimekumbuka kongamano fulani alikuwa anazingua sakata la suala la mawasiliano kuingizwa kwenye muungano.
dk salmin akamtaka amuandike barua raisi mkapa.
ila si mzungumzaji mzuri wa kwenye majukwaa ya siasa.Namsikiliza he is not boring to listen too.
Ndie yule yule wasiempenda kaja... aha ha ha haView attachment 1714741
Makamo wa Kwanza wa Rais, mtasema sanaaa
Hii ilikua haikwepeki mkuu, kwa muktadha na maslahi mapana ya Zanzibar.View attachment 1714741
Makamo wa Kwanza wa Rais, mtasema sanaaa
He comes across as an exceptional lawyer, mdomo mali yake.ila si mzungumzaji mzuri wa kwenye majukwaa ya siasa.
uwepo wa jussa, mazrui, mansouri, bimani, hamad massoud, ali shehe kutamsaidia sana
Mungu ibariki JFAlikuwa mfuasi mtiifu wa Maalim Seif na alikuwa kwa muda mrefu nzi wa Maalim ndani ya CCM aliyefanya vizuri sana kuidukua CCM.
Do you know katika makosa yao kuna mengine wakipatikana na hatiya, adhabu yake ni kunyongwa?
Sasa serikali azifikirii ovyo kama unavyodhani, pamoja na ushahidi walionao kutokana na social context za kiusalama; kuna makosa mengine bora wacheleweshe kesi ili wahusika wa reform, kuliko kuwahukumu for social cohesion purposes.
Kazi ya kuongoza nchi sio rahisi kama mnavyodhani; otherwise those old reprobates kwa sheria za Tanzania ambazo hazijawi tumiwa makosa yao ni kunyonga kwa mujibu wa katiba.
Sio kila mara serikali inaposema aijakamilisha ushahidi uiamini sometimes wana sababu zao za national security concerns.
Cha muhimu ni wewe kuelewa uamsho ni enemies of the state.
Mkuu hivi huyo mtu ni hatari zaidi ya Seif?Nasikiliza interview zake he is not boring to listen too, but dangerous.
Sasa mbona watu wanasema yeye ni hatari, uhatari wake uko wapi? Atafanya nini kilichomshinda Seif?Kitendo cha watu waliokuwa bega kwa bega na Seif kwa zaidi ya miaka 30 na kumuachia mgeni asie ata na miaka mitano ndani ya chama aongoze mapambano that is enough of a statement.
Mizizi ya Seif ilikuwa ni zaidi ya mipaka ya kivyama na ndio maana hata ile kamati ya maridhiano wajumbe karibu wote waliishia kumfuata Seif kuanzia Mzee Moyo hadi Mansoor Himid.Kitendo cha watu waliokuwa bega kwa bega na Seif kwa zaidi ya miaka 30 na kumuachia mgeni asie ata na miaka mitano ndani ya chama aongoze mapambano that is enough of a statement.
Huo mstari wa kwanza una uzito sana; na mtu mwenye msimamo hata kama sikubaliani naye kwa anayoyasimamia anastahili heshima.Sio Maalim Seif huyo hana shida ya madaraka, shida yake yeye ni Zanzibar huru that’s his life ambition.
The making of a dangerous demagogue....
Muhimu atambue with CCM the harder they come, the harder they it; wenzake wanajua hilo.Mizizi ya Seif ilikuwa ni zaidi ya mipaka ya kivyama na ndio maana hata ile kamati ya maridhiano wajumbe karibu wote waliishia kumfuata Seif kuanzia Mzee Moyo hadi Mansoor Himid.
So sio bure hata huyu Othman Masoud amekua mtiifu wa Seif kwa miaka yake yote ya utumishi na ndio maana alikua willing kuacha AG ili tu asimame na Maalim.
Nachokiona kamati ya maridhiano iliwekwa na Amani Karume ili kuandaa transition from CCM to CUF/ACT sema mchakato ukaingiliwa tu na wahuni. So walishaandaliwa kitambo tu kujiunga na serikali ya Seif ilikua suala la muda tu.
Hivi mkuu ni juzi tu si ndio ulikuwa ukimuita huyu jihadist?? Radical??Sio Maalim Seif huyo hana shida ya madaraka, shida yake yeye ni Zanzibar huru that’s his life ambition.
The making of a dangerous demagogue....
Mtu radical maana yake ana strong feelings about something sio lazima mambo ya dini usikariri.