Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkimaliza kubishana mjue tupo tunaopenda muungano uvunjike na Zanzibar ipate uhuru wake kamili.
1. Unauhakika ni kauli tu? Kina saa Nane kupotea na kina Lissu kutandikwa risasi mchana kweupe ni sababu ya nini zaidi ya kauli tu zilitozotolewa majukwaani? Ama kutandikwa wapinzani wa Serikali haiwi security concern? Kwanini tuna selective hivi na double standards?Hili ndio tatizo lenu kutaka kufananisha serious national security concerns na kauli za wanasiasa ambazo clearly ni uropokaji wao binafsi na wala hazina baraka za viongozi wao wala wanachama wenzao kwa ujumla wake.
Kwanini mpaka leo kesi aijaisha mimi sielewi motives za serikali kwa ujumla wake maana kama ni ushahidi there is ample evidence on sedition and several other serious offences placed upon them.
Acha upotoshaji, mtu amefikia mpaka kuwa AG wa serikali halafu unakuja na santuri zako za kuungaunga. Inamaana serikali haikumfanyia vetting kabla ya kumteuwa? Mbona unataka kudhalilisha serikali wewe?!Kifupi mleta mada hii ni yeye mwenyewe anajipigia debe!
Kuhusu uwezo wake ni kuwa Othman Masoud huyu sio mwanasiasa hasa ni muislamu mwenye siasa kali!!! ambaye angependa zaidi zanzibar iwe nchi ya kiislamu ya siasa kali .Hakubaliani na uislamu wa wastani ulioko Zanzibar ni mfuasi wa Mashehe wa uamsho tpfauti na Maalim Seif ambaye agenda yake kuu ilikuwa kutaka wapemba washike serikali Zanzibar.Maalim Seif kwa wapemba alikuwa ndie Raisi wao wa wapemba.Ndo maana hata angekuwa kalala ICU wangempa kura. Othman Masoud yeye mlengo wake si wa kisiasa hasa yeye mlengo wake ni wa kidini wa siasa kali zaidibangependa waislamu wa siasa kali washike Zanzibar
Kutokana na misimo yake ya kidini ya siasa kali aweza hata jilipua huyo kwenye vikao vya kiserikali ni mtu yuko tayari kwenda ahera wakati wowote akimpigania Allah ni high risk kuwa naye karibu sababu ya imani kali ya kidini hatarishi ialiiyonayo.He is not a politician but a high risk religuous fanatic
Huyu hakuwa hasa mfuasi wa Maalim Seif bali wa kikundi cha imani kali cha kidini ya kiislamu kilichojificha ndani ya chama ambacho Maalim Seif hakuwa sehemu yake hasa sababu yeye mlengo wake mkuu ulikuwa tu kutaka wapemba washike dola kwenye msimamo wa imani kali ya idini huko haukuwa mlengo wake tofaut na Othman Masoudi ambaye mlengo wake ni kutaka waislamu wenye imani kali washike dola bila kujali ni wapemba au waunguja
Hii si kweli hata kidogo!Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.
The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.
Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.
Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.
He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitakazomridhisha.
Hii ni fitna na inshaAllah hamtafanikiwa na fitna zenu.Kifupi mleta mada hii ni yeye mwenyewe anajipigia debe!
Kuhusu uwezo wake ni kuwa Othman Masoud huyu sio mwanasiasa hasa ni muislamu mwenye siasa kali!!! ambaye angependa zaidi zanzibar iwe nchi ya kiislamu ya siasa kali .Hakubaliani na uislamu wa wastani ulioko Zanzibar ni mfuasi wa Mashehe wa uamsho tpfauti na Maalim Seif ambaye agenda yake kuu ilikuwa kutaka wapemba washike serikali Zanzibar.Maalim Seif kwa wapemba alikuwa ndie Raisi wao wa wapemba.Ndo maana hata angekuwa kalala ICU wangempa kura. Othman Masoud yeye mlengo wake si wa kisiasa hasa yeye mlengo wake ni wa kidini wa siasa kali zaidibangependa waislamu wa siasa kali washike Zanzibar
Kutokana na misimo yake ya kidini ya siasa kali aweza hata jilipua huyo kwenye vikao vya kiserikali ni mtu yuko tayari kwenda ahera wakati wowote akimpigania Allah ni high risk kuwa naye karibu sababu ya imani kali ya kidini hatarishi ialiiyonayo.He is not a politician but a high risk religuous fanatic
Huyu hakuwa hasa mfuasi wa Maalim Seif bali wa kikundi cha imani kali cha kidini ya kiislamu kilichojificha ndani ya chama ambacho Maalim Seif hakuwa sehemu yake hasa sababu yeye mlengo wake mkuu ulikuwa tu kutaka wapemba washike dola kwenye msimamo wa imani kali ya idini huko haukuwa mlengo wake tofaut na Othman Masoudi ambaye mlengo wake ni kutaka waislamu wenye imani kali washike dola bila kujali ni wapemba au waunguja
Haswaaaaaa!Unajua ukija kwenye maslahi ya Tanganyika hakuna mzanzibar atakae faa ispokuwa mlafi wa madaraka, ukija kwenye maslahi ya Zanzibar mtu Kama huyu ndie anae faa, kwa msemo mwengine nyinyi hutumia kuwa sio Mtu mzuri kwa maslahi ya Tanganyika na Muungano.
Kama wazanzibari Sisi tunaangalia Zanzibar, na ndio sababu kuu ya marehemu Maalim seif kukubalika visiwani Zanzibar.
Huyu kijana ni jembe
Like I said ‘Othman Masoud’ is tactical anafahamu change is not abrupt it requires adjustment kuuma na kupuliza mpaka kufikia lengo. For him is to come out of the union.Zanzibar kwa sasa tunamuhitaji mtu kama Othman, tunajuwa dhamira yake kwa Zanzibar ni njema, ni mtu mwenye vision, ni mtu anaependa maridhiano, kama hujuwi maridhiano ya sasa yeye ana mchango mkubwa katika kufanikiwa kwake. Si mtu mfia chama ni mtu anaweka maslahi ya nchi mbele na maamuzi yake siku zote yanalenga maslahi mapana ya nchi. Musiompenda Othman tunazijuwa sababu kwa nini hamumpendi...
Nami naona hilo likitatokea la ccm kumkataa mteuliwaDuni hamna kitu. Zanzibar inahitaji kwenda mbele, Hata Mwinyi atamhitaji Othman Masoud. Kuwapa nafasi hiyo watu kama Juma Duni, na akina Ismail Jussa ni kuchagua kurudi nyuma.
Ila wahafidhina ndani ya CCM sidhani kama CCM watamhitaji Othman.
Hizi ndio siasa zinazo waponza you ppl don’t evolve mnatunga mambo mitandaoni ya kujifurahisha wenyewe or issues which society have forgotten about na kudhani zinasaidia ku mobilise support kila siku mnarudia rudia ujinga ambao watanzania awau elewi.1. Unauhakika ni kauli tu? Kina saa Nane kupotea na kina Lissu kutandikwa risasi mchana kweupe ni sababu ya nini zaidi ya kauli tu zilitozotolewa majukwaani? Ama kutandikwa wapinzani wa Serikali haiwi security concern? Kwanini tuna selective hivi na double standards?
2. Ni vizuri umekiri hujui motives za serikali maana ni zaidi ya uonevu kuwaweka watu mahabusu wakati ushahidi hautoshi! Kwanini msiwaachie kwa probation kuliko kuwasweka ndani bila fair hearing?
Hakuna mtu aliyewatetea Uamsho bali watu wanataka HAKI itendeke.... Kma ushahidi hamna waachiwe otherwise ushahidi uwekwe wafungwe tujue moja... that's all watu wanataka sio Kingine.
Haya masuala mnaweza tetea ila siku ukibambikiwa kesi alafu ikaenda miaka 10 ndio ikajulikana huna hatia... Ndio utaelewa jinsi uendeshaji kesi Tz ulivyo na kero
Othman ndie anaetufaa, labda hafai kwa mujibu wa siasa za CCM Bara na wahifidhina wachache Zanzibar za kulazimisha kuitawala Zanzibar kwa maslahi yao binafsi.Umemaliza,hafai [emoji16]
Na Duni nae hana msimamo tofauti na Othman na wazanzibari wengine. Kama mnataka kujuwa what is common between them ni kwamba wote wanataka mamlaka ya Zanzibar. Kwa hio like Duni like Othman. Labda itakuwa mnauogopa uwezo mkubwa wa akili wa Othman!Wampe mzee wa kifo cha mende Babu duni
Sawa, kama zipo wazi nini kimeshindikana kuhukumiwa?Crimes za uamsho zipo wazi, we unajua ni kina nani walimpiga Lissu risasi?
Do you know katika makosa yao kuna mengine wakipatikana na hatiya, adhabu yake ni kunyongwa?Sawa, kama zipo wazi nini kimeshindikana kuhukumiwa?
Why watu wenye mitazamo ya mbali yenye tija mnawaogopa sana?💩Othamna hapana aisee nj Radical sana
Nani ametunga? Lissu si alisema hadharani kwamba wanataka kumuua what happened next? Saa Nane alisema pia kwamba anafuatiliwa kuuawa na hata vitisho viliwahi kupostiwa humu nini kilifuata?Hizi ndio siasa zinazo waponza you ppl don’t evolve mnatunga mambo mitandaoni ya kujifurahisha wenyewe or issues which society have forgotten about na kudhani zinasaidia ku mobilise support kila siku mnarudia rudia ujinga ambao watanzania awau elewi.
Ila kwa Uamsho life doesn't move on hta kma serikali kwa sasa "ipo kwa ajili ya kuwainua waTZ waliochini"? Ama ina move on pale tu maslahi yake yasipoguswa?.But life goes on tunaomjua uwezo wake ni JF members, kurudia x 2 uwezo wake won’t bring him back; na serikali imesha move on sasa hivi ipo kwa ajili ya kuwainua watanzania waliochini.
That’s life and things happen
Ndugu hakuna kitu kigumu kuthibitisha mahakamani kama ‘actus reus’ and ‘mens rea’ za GBH especially katika mazingira ya Lissu.Nani ametunga? Lissu si alisema hadharani kwamba wanataka kumuua what happened next? Saa Nane alisema pia kwamba anafuatiliwa kuuawa na hata vitisho viliwahi kupostiwa humu nini kilifuata?
Vile vitisho vingetolewa na UAMSHO kwa mawaziri wa CCM hvi pangekalika? Mbona una double standards mkuu
Ila kwa Uamsho life doesn't move on hta kma serikali kwa sasa "ipo kwa ajili ya kuwainua waTZ waliochini"? Ama ina move on pale tu maslahi yake yasipoguswa?