chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Mjomba umerudia rudia sana hoja kiasi umefanya andiko lko liwe refu bila ya sababu za msingi.Kifupi mleta mada hii ni yeye mwenyewe anajipigia debe!!!!
Kuhusu uwezo wake ni kuwa Othman Masoud huyu sio mwanasiasa hasa ni muislamu mwenye siasa kali!!! ambaye angependa zaidi zanzibar iwe nchi ya kiislamu ya siasa kali .Hakubaliani na uislamu wa wastani ulioko Zanzibar ni mfuasi wa Mashehe wa uamsho tpfauti na Maalim Seif ambaye agenda yake kuu ilikuwa kutaka wapemba washike serikali Zanzibar.Maalim Seif kwa wapemba alikuwa ndie Raisi wao wa wapemba.Ndo maana hata angekuwa kalala ICU wangempa kura!!! Othman Masoud yeye mlengo wake si wa kisiasa hasa yeye mlengo wake ni wa kidini wa siasa kali zaidibangependa waislamu wa siasa kali washike Zanzibar
Kutokana na misimo yake ya kidini ya siasa kali aweza hata jilipua huyo kwenye vikao vya kiserikali ni mtu yuko tayari kwenda ahera wakati wowote akimpigania Allah ni high risk kuwa naye karibu sababu ya imani kali ya kidini hatarishi ialiiyonayo.He is not a politician but a high risk religuous fanatic
Huyu hakuwa hasa mfuasi wa Maalim Seif bali wa kikundi cha imani kali cha kidini ya kiislamu kilichojificha ndani ya chama ambacho Maalim Seif hakuwa sehemu yake hasa sababu yeye mlengo wake mkuu ulikuwa tu kutaka wapemba washike dola kwenye msimamo wa imani kali ya idini huko haukuwa mlengo wake tofaut na Othman Masoudi ambaye mlengo wake ni kutaka waislamu wenye imani kali washike dola bila kujali ni wapemba au waunguja
Hayo yote uliyoandika yangetosha kwa mistari michache tu na ungeeleweka vizuri.