Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Unaongea about family or about countries? Don’t be a fool 🥸
Kwani hujui family ties ni misingi ya kuungana. Hata EU moja ya sababu kubwa ya muungano wao ni kujiona wote as denoting from the Aryan race.
 
Kama alikuwa kinyume na wenzake wote wa Zanzibar ina maana hafai na usomi wake hajui maana ya maamuzi ya pamoja ina maana hata akiingia serikali ya umoja wa kitaifa wakifanya maamuzi kwa pamoja akiwa yeye hakubaliani nayo atapinga hajui maana ya makubaliano ya pamoja!!!

pili waliosrma adilimia kubwa kwenye kutoa maini kutaka serikali tatu zanzibar wengi walikuwa wapemba wallikuwa wakisikia tume inaenda mahali fulani na wao mbio wanaenda adi jaji.warioba akahoji mbona lafudhi ni zile zile za sehemu zote tunakoenda vikao wanaaongelea serikali tatu ni wale wale wa kutoka sehemu moja ya zanzibar yaani pemba? Walikuwa Wamepanga watu kila kila kikao na wanaongea kitu kile kile kwa kukariri hadi nukta na mikayo kuanzia mwanzo wa sentensi hadi mwisho tume ya maoni wakashtuka.Lakini kwa kuwa kazi yao ilikuwa tu kukusanya maoni tu ndio wakaatoa takwimu hizo lakini with reservation ya kilichotokea Zanzibar.Ile haikuwa kura ya maoni ilikuwa jukusanya tu maoni roughly lakini wapemba wakaharibu mchakato uonekane kama ni wa kwao zaidi badala ya kuuacha freely bila kupanga watu kila mkutano

Waulize walio kuwa wajumbe wa Baraza la wakilishi watakwambia, Samia Suluhu, alie kuwa spika wa Baraza la wakilishi kificho, almost ccm yote Unguja waliondoka na neno serikali tatu, kufika Dodoma wakageuka baada ya kila mmoja kupewa 100 milion 🥸
 
ushahidi basi weka
 
Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.

Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.

Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.

He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitakazomridhisha.

You are almost cracking the nuts I concur with you he is an excoriated extremist to entertain as he won't help to cement Zanzibaris brotherhood integration if I can put it in that way for everyone to discern the concept.
 
Baada ya kufariki Makamo wa kwanza Maalim seif sharif Hamad, Kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale kuhusu ni nani atakae weza kuvaa viatu japo nusu ,vya marehemu maalim seif, mpaka sasa majina ni mawili, Juma Duni na Othman masoud Ambae aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wakati wa DR Shein

Othman Masoud alitumbuliwa kutokana na misimamo yake ya kutetea katiba ya Zanzibar Na maslahi ya Zanzibar katika bunge la katiba mpya.

Bwana Othman hakujali maslahi yake binafsi na kuweka uzalendo zaidi, sikiliza mahojiano yake juu ya serikali ya umoja wa kitaifa akitoa maoni yake.

Mimi binafsi namkubali huyu kijana mwenzangu, kwanza ni msomi wa kweli, mzalendo na yupo tayari kutetea maslahi ya Zanzibar, naamini kama atapata fursa ya kuwa makamo ataweza kumshauri Mwinyi na kumsaidia katika kuwaletea maendeleo wazanzibari.

View attachment 1712035

Hakuna kitu kinaitwa Umakamo kuwakilisha msaidizi wa Rais; usahihi ni MAKAMU. Pendeni Kiswahili na mkitumia kwa UFASAHA
 
Mtu aliyekuwa kwenye Trenches na Maalim kwa miaka na miaka ndiye anayefaa.
CV ya Babu duni inajitosheleza sana kuanzia kisomo, utendaji kazi serikalini hata harakati za kisiasa
Duni umri umeenda hawezi saidia transition inatakiwa awekwe mtu ambaye ataweza jijenga kwa miaka 10 ijayo bila kukwama.
Hapa cha kuangaliwa ni continuity na progression sio fadhila na uzoefu tu. Kwa kusema hayo anayefit hapo Ni Jussa,Masoud, na Mansoor.
 
Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.

Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.

Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.

Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.

He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitakazomridhisha.

Acha propaganda za Kilumumba! Yaani unamuona radical kisa tu anapigania maslahi ya nchi yao?! Unamuona radical kwavile alikuwa tayari kuupoteza uanasheria mkuu for the sake of serikali 3?! Vipi kuhusu wanasiasa wa bara ambao walisusia Bunge la Katiba baada ya kuona hoja ya serikali tatu imenajisiwa na JK?! Yaani ulitaka aimbe asichokiamini kwa ajili ya kutetea madaraka kama ilivyo wale mamburula wanaoimba simulizi za Nyungu? Kama wanachotaka ni Zanzibar yao wewe Mtanganyika kinakuuma nini?

ACHA KUTUMIKA ingawaje kutumika kwako hakutasaidia chochote kwenye suala hili.
 
Huyo awezi kuwa system itaamulika nani wa kuwa naona Juma duni ananafasi kubwa
 
[/QUOTE]
Kama wazanzibari Sisi tunaangalia Zanzibar, na ndio sababu kuu ya marehemu Maalim seif kukubalika visiwani Zanzibar.
sema kama wapemba waarabu usiseme wazanzibari !!!!! Maalim Seif alikubalika kwa wapemba tena sio wote ni wapemba waarabu!!! Ukisikia kuna mtu anasema sisi wazanzibari tunataka seriikali tatu ni uwongo anajificha tu kichaka cha uzanzabari ila huwa mara nyingi ni mpemba mwenye asili ya kiarabu sio ngozi nyeusiu lakini ukiona ni mweusi huyo ni mla biriani na pilau majumbani kwa wapemba waaravbu siku za sikukuu za Idi
 
Acha propaganda za Kilumumba! Yaani unamuona radical kisa tu anapigania maslahi ya nchi yao?! Unamuona radical kwavile alikuwa tayari kuupoteza uanasheria mkuu for the sake of serikali 3?! Vipi kuhusu wanasiasa wa bara ambao walisusia Bunge la Katiba baada ya kuona hoja ya serikali tatu imenajisiwa na JK?! Yaani ulitaka aimbe asichokiamini kwa ajili ya kutetea madaraka kama ilivyo wale mamburula wanaoimba simulizi za Nyungu? Kama wanachotaka ni Zanzibar yao wewe Mtanganyika kinakuuma nini?

ACHA KUTUMIKA ingawaje kutumika kwako hakutasaidia chochote kwenye suala hili.
Mleta mada kaweka provoking thought between two alternatives wajadiliwe na nilichofanya mimi ni kuelezea misimamo ya mmoja wapo ilivyo sio kosa. Ni katika muktadha wa kuzijadili option alizoweka uhitaji kutumwa na mtu.

Ningekuwa nimeanzisha mada mimi na kumnanga mmoja labda ndio accusation zako zingekuwa zina basis, be it feeble, otherwise ni open discussion.

Wewe toa maoni yako kama anafaa na kwanini? sio mambo ya kushutumiana bila ya ushahidi.
 
Maoni yako sio objective bali ni ya kipropaganda yenye elements za chuki ndani yake. Yaani suala la yeye kupinga serikali mbili kwako unaona kama ni dhambi kubwa wakati hata huku bara watu walipinga serikali mbili! Kwa mfano, ulikuwa na sababu ipi ya msingi ya kumfananisha na Uamsho watu ambao kwa mujibu wenu ni magaidi?! Kwanini umuone toxic kwa sababu alikuwa anatetea serikali tatu?Hivi ni nani ambae aliharibu rasimu ya Katiba Mpya kati ya Masoud na KIkwete hadi uone huyo ndo toxic anayepaswa kufunguliwa kesi fake za ugaidi kama walivyofanyiwa uamsho?

Sijasema umetumwa bali nimesema unatumika, na bado nasisitiza unatumika ama kwa kujua au kwa kutojua.
 
Yaleyale misingi ya kuanzishwa kwa uamsho sio udini per kama unavyofikiria. Walianza kama kikundi cha masheikh wenye kudai Zanzibar huru na kufanya mihadhara kwa madai ya kutoa elimu jinsi Zanzibar inavyopoteza identity yake kupitia muungano ndio maana wakajiita uamsho.

Niliposema ni radicals not necessary in religious way (though they were in the end) Ila nilimaamisha njia zao za kutaka kuuvunja muungano zilikuwa uncompromising kama huyo Othman Masoud.

Ukumbuke uamsho walitaka serikali ya Zanzibar isiendesheke kwa nguvu kwa kuingiza watu barabarani na kupambana na vyombo vya ulinzi walionywa mara kadhaa kistaarabu.

Wahusika walikuwa wanakamatwa wanaachiwa hawasikii if anything wakitoka ndio wana andaa maandamano makubwa zaidi; wakatoka kwenye siasa na kuingiza udini na kuanza kuchoma makanisa ndipo JK akaona inatosha.

Kwa hivyo ninaposema ni radical kama uamsho ni katika hatua za uncompromising attitude alizo nazo dhidi ya muungano.

Lost in translation kwako pengine ukuwa mfuatiliaji mzuri wa uhamsho katika harakati zao jamaa wanakesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa; swala ambalo watu wengi mnalichukulia lightly ni bora funguo zao za jela zimetupwa kuliko kukutwa na hatia.
 
Kifupi mleta mada hii ni yeye mwenyewe anajipigia debe!

Kuhusu uwezo wake ni kuwa Othman Masoud huyu sio mwanasiasa hasa ni muislamu mwenye siasa kali!!! ambaye angependa zaidi zanzibar iwe nchi ya kiislamu ya siasa kali .Hakubaliani na uislamu wa wastani ulioko Zanzibar ni mfuasi wa Mashehe wa uamsho tpfauti na Maalim Seif ambaye agenda yake kuu ilikuwa kutaka wapemba washike serikali Zanzibar.Maalim Seif kwa wapemba alikuwa ndie Raisi wao wa wapemba.Ndo maana hata angekuwa kalala ICU wangempa kura. Othman Masoud yeye mlengo wake si wa kisiasa hasa yeye mlengo wake ni wa kidini wa siasa kali zaidibangependa waislamu wa siasa kali washike Zanzibar

Kutokana na misimo yake ya kidini ya siasa kali aweza hata jilipua huyo kwenye vikao vya kiserikali ni mtu yuko tayari kwenda ahera wakati wowote akimpigania Allah ni high risk kuwa naye karibu sababu ya imani kali ya kidini hatarishi ialiiyonayo.He is not a politician but a high risk religuous fanatic

Huyu hakuwa hasa mfuasi wa Maalim Seif bali wa kikundi cha imani kali cha kidini ya kiislamu kilichojificha ndani ya chama ambacho Maalim Seif hakuwa sehemu yake hasa sababu yeye mlengo wake mkuu ulikuwa tu kutaka wapemba washike dola kwenye msimamo wa imani kali ya idini huko haukuwa mlengo wake tofaut na Othman Masoudi ambaye mlengo wake ni kutaka waislamu wenye imani kali washike dola bila kujali ni wapemba au waunguja
Apewe huyo huyo anafaa sana. Mungu ibariki Zanzibar
 
Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.

Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.

Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.

He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitakazomridhisha.

Muungano haulazimishwi , waacheni wazanzibar waamue
 
Duni hamna kitu. Zanzibar inahitaji kwenda mbele, Hata Mwinyi atamhitaji Othman Masoud. Kuwapa nafasi hiyo watu kama Juma Duni, na akina Ismail Jussa ni kuchagua kurudi nyuma.

Ila wahafidhina ndani ya CCM sidhani kama CCM watamhitaji Othman.
Kama ni hivyo Haji Duni anapita!
 
Back
Top Bottom