Alikuwa mfuasi mtiifu wa Maalim Seif na alikuwa kwa muda mrefu nzi wa Maalim ndani ya CCM aliyefanya vizuri sana kuidukua CCM.Huyu naye ni wa ACT?
Mbona unachachawa?Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.
The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
Mbona unachachawa?
Ana tufaaHuyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.
The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
Basi pendekeza awe Poepole. Mtu mwenye uwezo wa kuongea na Corona na ikamsikiliza!Othamna hapana aisee nj Radical sana
Tatizo wengi wenu huwa amchukui muda kujua mlengo wa viongozi wenu kwenye siasa zaidi ya ushabiki na matusi tu.
Hiyo clip cha mtoto tu rudi nyuma utafute clips zake zilizosababisha afukuzwe kazi ya uanasheria mkuu huko Zanzibar; baada ya katiba mpya kugonga mwamba.
Ni mmoja ya watu walioharibu rasimu ya katiba mpya kwa mapendekezo yake ya muundo wa serikali tatu, ilipokataliwa the guy went bananas on the media (tells you he had everything to do on suggested union government structure), muundo ambao ungeweza vunja muungano kirahisi mbeleni.
He is very convincing inaonekana kama wana akili timamu they don’t want this poisonous person in high office or else they will be nurturing a dangerous demagogue and risk the stability of Tanzania union; because for him the goal is fully independent Zanzibar hakuna utatuzi wa kero za muungano zitazomridhisha.
Kwani huo Muungano ukivunjwa Una shida gani??Wewe inakuuma nini ukivunjwa?
Kifupi mleta mada hii ni yeye mwenyewe anajipigia debe!Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.
The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.