Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Mpaka amekubali uteuzi ni kwamba ashalegea
Tafuta interview zake asilimia kubwa za sheria alizozigomea Salmini Amour kutoka bara ndani ya muda wake nyuma ya ushauri alikuwa huyo bwana; and he hasn’t change his viewpoint in the slightest.

Kabla alikuwa anaonekana ni technocrat kwa wazanzibari; sasa hivi ndio wanaenda kumtengenezea jina la kisiasa na popular support, he is not the kind of person you want to incite an audience.

Time will tell ngoja tuone.
 
Tafuta interview zake asilimia kubwa za sheria alizozigomea Salmini Amour kutoka bara ndani ya muda wake nyuma ya ushauri alikuwa huyo bwana; and he hasn’t change a bit.
hahahahahaaaaa kumbe unamfahamu.
nimekumbuka kongamano fulani alikuwa anazingua sakata la suala la mawasiliano kuingizwa kwenye muungano.
dk salmin akamtaka amuandike barua raisi mkapa.
 

Unajichanganya sana mkuu. Bora hili limeshakamilika na kilichotokea ndicho nilichokitarajia.

Lakini nashukuru huu mjadala umeibua hoja kuweza kujua baadhi ya maoni na mawazo ya wadau tofauti tofauti kuhusu siasa za Zanzibar.
 
Kitendo cha watu waliokuwa bega kwa bega na Seif kwa zaidi ya miaka 30 na kumuachia mgeni asie ata na miaka mitano ndani ya chama aongoze mapambano that is enough of a statement.
Sasa mbona watu wanasema yeye ni hatari, uhatari wake uko wapi? Atafanya nini kilichomshinda Seif?
 
Kitendo cha watu waliokuwa bega kwa bega na Seif kwa zaidi ya miaka 30 na kumuachia mgeni asie ata na miaka mitano ndani ya chama aongoze mapambano that is enough of a statement.
Mizizi ya Seif ilikuwa ni zaidi ya mipaka ya kivyama na ndio maana hata ile kamati ya maridhiano wajumbe karibu wote waliishia kumfuata Seif kuanzia Mzee Moyo hadi Mansoor Himid.

So sio bure hata huyu Othman Masoud amekua mtiifu wa Seif kwa miaka yake yote ya utumishi na ndio maana alikua willing kuacha AG ili tu asimame na Maalim.

Nachokiona kamati ya maridhiano iliwekwa na Amani Karume ili kuandaa transition from CCM to CUF/ACT sema mchakato ukaingiliwa tu na wahuni. So walishaandaliwa kitambo tu kujiunga na serikali ya Seif ilikua suala la muda tu.
 
Sio Maalim Seif huyo hana shida ya madaraka, shida yake yeye ni Zanzibar huru that’s his life ambition.

The making of a dangerous demagogue....
Huo mstari wa kwanza una uzito sana; na mtu mwenye msimamo hata kama sikubaliani naye kwa anayoyasimamia anastahili heshima.

Huo nusu mstari wa pili, sijui una maana gani?

Tanzania probably already has an actual "dangerous demagogue'" not an aspiring demagogue.
 
Muhimu atambue with CCM the harder they come, the harder they it; wenzake wanajua hilo.

Ngoja tuupe nafasi muda tupime political tone ya Mwinyi, ataendelea vile vile as Magufuli wannabe kuhimiza uwajibaki au tutaanza kusikia mambo ya devolution tena; kwao hao wawili someone has to give in.
 
Sio Maalim Seif huyo hana shida ya madaraka, shida yake yeye ni Zanzibar huru that’s his life ambition.

The making of a dangerous demagogue....
Hivi mkuu ni juzi tu si ndio ulikuwa ukimuita huyu jihadist?? Radical??

cc: Daemusin
 
Mkuu pole sana, ulimpinga sana Othman kuwa makamu kutokana na itikadi zake lkn watawala wa Zenji wamemkubali.
Nakumbuka.

Huyo jamaa Kilatha Ni Bora akae kimya tu katika hili. We have got someone we want.

Shukran zimuendee Mheshimiwa Zitto as well.

Shukran sana Zitto
 
Hivi mkuu ni juzi tu si ndio ulikuwa ukimuita huyu jihadist?? Radical??

cc: Daemusin
Mtu radical maana yake ana strong feelings about something sio lazima mambo ya dini usikariri.

Unaweza ata kuwa radical environmentalist upo tayari kujifunga juu ya mti usikatwe.

Sasa kasome tena nilitumia neno radical kwa mukhtadha gani kulingana na misimamo ya huyo mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…