Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Waliokubuhu ukiwaona hata bila kuambiwa unajua kahaba hii ni kahaba. Hawa ni hasa wale namba B na C kwa mbali maana maisha yao yote wanategemea hiyo kazi na hawafanyi service kwa wakati ndio maana wanachoka, yaani hawa ni tupa geuka.Wanawake wanaojiuza huwa wako kama vichaa mkorogo umedunda halafu wako Wa.....fu sana
Kuna kahaba nyingine namba E na D huwezi kujua. Kwanza zinakuwa na fremu ya biashara halali ya kuzugia ambayo hata hesabu zake ukikagua zinakuwa na utata au hazina uhalisia.
Kwamba mkaguzi akipitia hesabu za biashara yake, anapa hati chafu.
Aina hii ya kahaba ukiipata mkakubaliana bei linaweza kukupeleka lodge na gari lake.