1Afica54
Senior Member
- Feb 15, 2025
- 115
- 68
- Bara la kupokea kila mgeni
- Bara lenye rasilimali nyingi
- Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe
- Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe
- Bara lenye wajinga wengi
- Bara lenye magonjwa yote duniani
- Bara lenye miundombinu dunii mibovu
- Bara linalo kopa kila kukicha
- Bara lenye viongozi mafisadi
- Bara lenye ndoto ya kuwekeza Zaidi kwenye michezo Zaidi ya viwanda
- Bara lenye kila aina ya ardhi ya kilimo lenye njaa
- Bara ambalo ukimiliki tu IST unahujumu uchumi
- Bara ambalo Hadi vijana wavivu wa fikra
- Bara ambalo ukifungua kiwanda unapigwa faini ya kuharibu mazingira
- Bara lenye kila aina ya samaki ila mboga kuu ni dagaa na maharagwe
- Bara lenye wasomi walio faulu assignment za chuo kikuu kwa google na ChatGPT
- Bara ambalo raisi anazindua madarasa kisa ya tiles
- Bara ambalo halina sarafu yake kuu
- Bara ambalo matumizi yake /transaction 80% inafungwa western
- Bara lenye viongozi wazee wenye mawazo finyu na ufisadi wa hali ya juu vijana na nguvu kazi wanao taka maendeleo hawalambi unga
- Bara ambalo Bado linaamini mwanaadamu ni kivutio Cha utalii (maasai ) eti culture lakini huduma za JAMII hazipelekwi watu wanaishi kama wanyama na Bado wanafukuzwa kwenye makazi yao halisi wakati walisha aminishwa kua wao ni wanyama
- Bara ambalo linaamini JAMII flani ndio inaweza kutafuta hela, inaweza kupata elimu Bora ya juu (Chaga and haya)
Tuamke waafrika tuamke sana uzalendo ulio Baki sasa sio kushika mtutu uzalendo wa sasa ni kuiba, kununua na kunyang'anya kwa namna yeyote ile ujuzi, maarifa na technology
Tuwe na umoja kama wachina
Tuwe na uzalendo kama waasisi wa taifa la marekani
Tusome tuwe na maarifa Zaidi kwani ujinga ni mbaya Zaidi "we have to fear stupid people than evil one"