Umasikini Afrika. Vijana tuamke tushike madaraka tuingie kwenye siasa

Umasikini Afrika. Vijana tuamke tushike madaraka tuingie kwenye siasa

1Afica54

Senior Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
115
Reaction score
68

gold-vein.jpg
  • Bara la kupokea kila mgeni
  • Bara lenye rasilimali nyingi
  • Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe
  • Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe
  • Bara lenye wajinga wengi

e610118b-d00f-4509-bff7-0f2eb5594749_w1200_r1.jpg

car-27-sep-17.jpg
  • Bara lenye magonjwa yote duniani
  • Bara lenye miundombinu dunii mibovu

Central-African-Republic-3.jpeg
  • Bara linalo kopa kila kukicha
  • Bara lenye viongozi mafisadi
  • Bara lenye ndoto ya kuwekeza Zaidi kwenye michezo Zaidi ya viwanda
  • Bara lenye kila aina ya ardhi ya kilimo lenye njaa
  • Bara ambalo ukimiliki tu IST unahujumu uchumi
  • Bara ambalo Hadi vijana wavivu wa fikra

  • Bara ambalo ukifungua kiwanda unapigwa faini ya kuharibu mazingira
  • Bara lenye kila aina ya samaki ila mboga kuu ni dagaa na maharagwe
  • Bara lenye wasomi walio faulu assignment za chuo kikuu kwa google na ChatGPT
  • Bara ambalo raisi anazindua madarasa kisa ya tiles
  • Bara ambalo halina sarafu yake kuu
  • Bara ambalo matumizi yake /transaction 80% inafungwa western
  • Bara lenye viongozi wazee wenye mawazo finyu na ufisadi wa hali ya juu vijana na nguvu kazi wanao taka maendeleo hawalambi unga
  • Bara ambalo Bado linaamini mwanaadamu ni kivutio Cha utalii (maasai ) eti culture lakini huduma za JAMII hazipelekwi watu wanaishi kama wanyama na Bado wanafukuzwa kwenye makazi yao halisi wakati walisha aminishwa kua wao ni wanyama
  • Bara ambalo linaamini JAMII flani ndio inaweza kutafuta hela, inaweza kupata elimu Bora ya juu (Chaga and haya)

Tuamke waafrika tuamke sana uzalendo ulio Baki sasa sio kushika mtutu uzalendo wa sasa ni kuiba, kununua na kunyang'anya kwa namna yeyote ile ujuzi, maarifa na technology

the-difference-between-internal-and-external-marketing.jpg
Vijana tuamke tushike madaraka tuingie kwenye siasa maana hakuna wa kutusemea hakuna wa kubadili maisha na hali ya nchi zetu za ki Africa wazeee walio shika madaraka ni walevi ufisadi na uchoyo / wivu wa madaraka na ujinga wa kuuza rasilimali zetu kwathamani ndogo

rtslzvs8.jpg
Vijana tupaze sauti zetu kushinikiza serikali zetu zifanye mabadiliko
rtslzvs8.jpg

Tuwe na umoja kama wachina

Tuwe na uzalendo kama waasisi wa taifa la marekani

Tusome tuwe na maarifa Zaidi kwani ujinga ni mbaya Zaidi "we have to fear stupid people than evil one"
 
Attachments

  • A realistic image of a Tanzanian youth learning business and financial management.jpg
    A realistic image of a Tanzanian youth learning business and financial management.jpg
    211.5 KB · Views: 1
Afrika ni advanced marginalised continent. Yani shida za Afrika zimekaa kimfumo zaidi. Na over generation afrika haiwez kuwa tajiri hata watu wote waamke. Kila shida iliyopo duniani, bara zote ipo lakin Afrika ndo nga nga nga

Utamaduni wa kiafrika n maendeleo tunayoyaongelea ni pua na kichogo kwenye kichwa kimoja havitazamani kabisa
 
Aseee kwahio Bora wapigane vita uchumi wao ushuke sisi tupande😎
 
Angalia na nchi za watu weusi tofauti na bara la Africa.
Yaani ukiwaangalia nao walipelekwa kulimishwa huku ila wao wameahindwa kulima kwa faida yao

Tatizo ni utawala, wakishachaguliwa wanaanza kuchaguana ili wale peke yao
Yaani mwafrika hana aibu ila ni muoga sana
Kwa kuiba ataiba sana ila ukikata shingo ya majizi basi wengine watanyooka

Mtu anaruhusu viongozi waibe ili achunge kiti chake unategemea kuamka?
 
Shida sana ila naamini ipo generation ambayo itakua msaada kwa Africa hii old generation jau sana

Pia vitoto vya 2000+ navyo ni generation ya social media havitaki shida
 
Shida sana ila naamini ipo generation ambayo itakua msaada kwa Africa hii old generation jau sana

Pia vitoto vya 2000+ navyo ni generation ya social media havitaki shida
Itachukua miaka mingi sana na kubadilika na hata ikibadilika itakuwa too late

Wachina ardhi yao kubwa kwa sasa ni viwanda.
Wanahitaji chakula kingi sana kulisha watu wao.

Target yao ni nchi za Africa ambapo watachukua ardhi kwa mbinu za kuwapa mikopo au miundombinu na hawa wa watoto wa sasa ni bure kabisa

Hawa wanaowaza mpira, betting na kataa ndoa hatuwategemei kuleta mabadiliko yoyote sio kwa sisi tu afrika nzima
 
Kwahio ukizaliwa Africa inabidi ukubaliane na hali🙌😂
 
Utafiti mpya wa Mental State of the World 2024, iliyotolewa na Sapien Labs umebaini vijana wa Kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa kiakili ikilinganishwa na vijana wengine katika nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani kote.

Zaidi tembelea swahilitimes.co. kweli au🤣🤣🤣🙌
Screenshot_20250310-125309.png
tzMtihani mkubwa sana huo
 
Tu manipulate mfumo ndugu yangu 🤣 🙌
Linawezekana kama viongozi wataacha uroho na kulindana
Wizi wa mali ya Umma ikiwa adhabu ni kifo basi tutaacha na Rushwa pia

Tatizo pia ni uombaji uliokithiri yaani tumelemazwa kwa misaada na sasa kina Tibaijuka wanaona ni halali yetu kupewa misaada
Hao ndio ma professor wetu
 
Ustahimilifu wa kuburuzwa ama
Sijaelewa utafiti huo ni sifa au kejeli
Lakini linawezekana 😄
 
Hiyo ndo inaitwa equilibrium mkuu, ili dunia ibalance lazma kuwepo na wenye uwezo na wasionao, africa haiwezi badilika ikawa kama europe, kinachotuangusha ni ufisadi,kutokuwa na system, tabia na mitazamo, cheki wamarekani weusi wanagombana wenyewe kwa wenyewe,kupigana risasa jau sn, ukitaka kuamini nchi kama Angola,nigeria,gabon zina mafuta lakini maendeleo hamna ni ufisadi haswa, inshort mtu mweusi kujitawala na kuweka mifumo hawezi.
✍️
Lamborgini
 
Back
Top Bottom