Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

Je furaha itaweza maliza matatizo yako au kufanya uishi vizuri?

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 

Hakika Umenena

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Usije moyo, Umasikini ni Umasikini tu roho hatuijui ila ukiishi bandani twajua
Hakuna Umasikini wa Akili

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu samahani, ukiongelea umasikini na kuhusisha familia ya wakulima/wafugaji unamaanisha nn hasa?

mtu yupo kijijini ananyumba ya kawaida, analima labda ekari 50. Anang'ombe 70 kwa ujumla anamiliki ukwasi wa tsh. 80ml. Huyu ndo maskini unaemwongelea?

Mwingine yupo mjini ananyumba ya kwaida, ana gari mbili za kutembelea na anabiashara kwa ujumla anamiliki ukwasi wa tsh. 70ml. Huyu ndo tajiri unaemwongelea?

Bakhresa akimwangalia anaemiliki biashara ya 300ml. Ni wazi atamwona bado ni masikini saana!
Lakini mtaani kwa mfanyabiashara huyo anajulikana kama tajiri!

Tumetoka kwenye umaskini tupo kwenye uchumi wa kati kama nchi. Hii ni kwa kipimo cha matumizi ya siku 1 kwa mtu.

Dhana ya utajiri na umaskini labda ungeainisha kwamba mtu anaeweza kutumia sh. Ngapi kwa siku ndo maskini au tajiri huenda ungeeleweka vzr.
 
Mtoa mada umeongea ukweli 100% lakini sikubaliani na solutions namba moja uliyotoa, hiyo ya kuchanganya damu, nadhani tunatakiwa tutafute suluhisho lingine lenye uhalisia kuliko hili, ni ngumu sana kuwa applicable, unless ndio uwe wale uliowaita exeptional. Nasema hivi kwa sababu kuchanganya damu na watu wenye asili ya utajiri sio kitu kirahisi, sababu hata wao hawataki kuchanganya damu zao na watu wenye asili za umasikini, tena hasa kwa sasa,angalau kwa zamani kulikuwa na zile cinderella stories, kwamba mwana masikini kaolewa na mwana mfalme. Kwa sasa ni almost impossible ... Sasa kuliko kuendelea kuikumbatia hii suluhisho yafaa watu watafute suluhisho ambalo ni applicable kama hiyo namba mbili uliyoitoa na zingine na zingine.

Huu ni mjadala mkubwa sana among people of colour, na inaaminika kuwa mtu mweusi akifanikiwa anatakiwa afanikiwe kwa asilimia kubwa sana ili aweze kumaintain, akifanikiwa kidogo ni rahisi kuvutwa chini kwa kile wanachokiita "Black tax", kwamba wewe umetokea ukoo masikini, ukifanikiwa kidogo inabidi uanze kuhangaika na masikini wenzako ili nao angalau wanyanyuke, mwishowe mnajikuta mmeanguka wote.

Mimi naunga mkono suluhisho namba mbili uliyoitoa, kwasababu naamini mtu mweusi kufanikiwa inatakiwa juhudi collectively, sio suala la individuals, hivyo kwa kubadili "Imani na mitazamo labda tunaweza kupiga hatua". Nimelipenda swali la aliyeuliza je kuhusu umasikini wa nchi, tunafanyeje? au nchi hizi ndio zitaendelea kubaki hivyo hivyo?

Otherwise, Mimi nimezaliwa na exceptional naamini hadi nifike sehemu fulani nitajikuta exceptional. Tuendelee kukaza wandugu.
 
Sometimes tazama tu akili na upeo wa mtu. Unaweza kwenda jimix na watu wenye pesa mambo yakawa sio mambo.

Pesa zinatafutwa ila make sure kabla haujaanza zitafuta upate mtu ambaye anachukia umasikini kuliko kitu chochote na hana tamaa za kipuuzi.
His/her desire to get money should be next to yours.
 
Mr robert unajichanganya,mala tajiri anaamini mafanikio ni kwa akili zake mwenyewe,mala tena unasema inabidi uchanganye damu,maana ake swala la kijenitiki halipo tena,ukweli sijui uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…