Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Kwanza kulea familia nyinginr ukwenu inahitaj wito sana...nna rafiki yangu men ameoa matombo ukweni ni mafukara...bas anamnyanysa sana mkewe ..majuzi nikamwambia kwann unamnyanyasa hivyo mkeo? Maana had nahis ningekuwa mimi sijui ingekuwaje . Akasema kwao wife mm wananiona ndo mwokozi wao ..bila mimi hawaishi...so hata akimpiga hana pa kusemea..aliwah mpiga akamzimisha...hom akatum 30000 wakashukuru Ajabu
Wakati naolewa dingi aliangalia kwa wiki zima handwritting ya barua ya posa aloandika hubby ..akitoka job anaichukua anaiangaliaaa ananiita ananiuliza maswali balaa...yaan akageuka kama HR...Nikawa namwambia hubby kwa sms....akaniuliza maswali mno ..elimu zaidi..akaniambia usinione nakuukiza hv..kama ana degree 1 endelea na masomo yako ..alipokuja alipigwa maswali kama yuko interview...! Nimekuja kumwelewa juzi tu hapo baba alikua anania nzuri na bintiyr..
Moral of the stry tusikubali kila anayekuja kuoa aisee unaweza mtumbukiza mwanaonkwa umaskini konky

Daah umenifanya nicheke kwa sauti mkuu,,sasa mjeshi mwenyewe mbona ni kundi lilelile la maskini jaman.Mjeshi....! Mm hata wiki 1 singeweza....yaan bidada hana kauli ..uwi..hatakiwi kuhoji hata akimfumania mumewe....naye ameridhika..shenz typ