Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

Kwanza kulea familia nyinginr ukwenu inahitaj wito sana...nna rafiki yangu men ameoa matombo ukweni ni mafukara...bas anamnyanysa sana mkewe ..majuzi nikamwambia kwann unamnyanyasa hivyo mkeo? Maana had nahis ningekuwa mimi sijui ingekuwaje . Akasema kwao wife mm wananiona ndo mwokozi wao ..bila mimi hawaishi...so hata akimpiga hana pa kusemea..aliwah mpiga akamzimisha...hom akatum 30000 wakashukuru Ajabu

Wakati naolewa dingi aliangalia kwa wiki zima handwritting ya barua ya posa aloandika hubby ..akitoka job anaichukua anaiangaliaaa ananiita ananiuliza maswali balaa...yaan akageuka kama HR...Nikawa namwambia hubby kwa sms....akaniuliza maswali mno ..elimu zaidi..akaniambia usinione nakuukiza hv..kama ana degree 1 endelea na masomo yako ..alipokuja alipigwa maswali kama yuko interview...! Nimekuja kumwelewa juzi tu hapo baba alikua anania nzuri na bintiyr..
Moral of the stry tusikubali kila anayekuja kuoa aisee unaweza mtumbukiza mwanaonkwa umaskini konky

Mjeshi....! Mm hata wiki 1 singeweza....yaan bidada hana kauli ..uwi..hatakiwi kuhoji hata akimfumania mumewe....naye ameridhika..shenz typ
Daah umenifanya nicheke kwa sauti mkuu,,sasa mjeshi mwenyewe mbona ni kundi lilelile la maskini jaman.
 
Wakienda huko congo wanarudi na ukwasi....sema majority hawajielewi .wanashindana kununua magari tu au viboda boda vi5
 
Baba zao akina diamond, harmonize wote walikuwa maskini tu lkn watoto wao Wana cash.

Hawa ndio role model wetu, msitukatishe tamaa, umaskini haurithiwi
 
Back
Top Bottom