Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

Hii hapa

 
Anaebisha aje na hoja ya msingi..

Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
tunakuja na hoja..
Sema umeshindwa kutofautisha biashara ya ngono na umalaya.

yaan mwanamke kujiuza na Mwanamke malaya.

Malaya ni mwanamke/me asiye na msimamo juu ya hisia zake kingono, akiwashwa hakatai mwanaume yeyote atapita.

Hao unaosema wew wao ni wafanya biashara ya kingono, na wapo kimasilah ila wakipata hitaji wanaweza kuacha hyo biashara.

Ila mwanamke malaya hawez kuacha umalaya
 
Hadi watoto wa madoni wenye pesa pia wanataka hela tofauti ni kuwa hawaombi.. unatakiwa ujiongeze mwenyew na usipofanya ivo penzi ata wiki alitoboi.. ukimpata unatoka nae out unalipia kila kitu unampa zawad iphone 17+ unamfanyia mambo ambayo ni zaid ata ya aisha wa mtaani ambae unamhonga 100k kwa mwezi..
Swala la hela na mwanamke ni asili yake sio kipato
 
Back
Top Bottom