bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sio kweli huwezi kuwa huna mtaji ukapa hela mala nyingi kila mwenye hili udhaminiwe uwe na kitu,ila hii kauli ya kusema heti masikini ni laani ni kutojua nini maana ya neno laana na neno masikini hiwe iwavyo masikini lazima wawepo tu hata huko mnakopaamini masikini wapoMazingira hayamfanyi Mtu kuwa masikini,thus weupe wanakuja na akili na bag wakiwa masikini wanaondoka na utajiri kurudi kwao.
Pesa na mtaji wanavikutia huku
Umaskini huu umeuangalia mizizi yake lakini au unaongea juu juu tu?. Ulishawahi kuona tajiri amekuwa maskini? Je ni mambo gani hutokea n kupelekea hili kuwepo?. Huu ni umaskini wa tokeo la nn?Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato.
Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji...
Hela ni matokeo ya wazo kuligeuza kuwa pesa.mfanoSio kweli huwezi kuwa huna mtaji ukapa hela mala nyingi kila mwenye hili udhaminiwe uwe na kitu,ila hii kauli ya kusema heti masikini ni laani ni kutojua nini maana ya neno laana na neno masikini hiwe iwavyo masikini lazima wawepo tu hata huko mnakopaamini masikini wapo
Kivipi wakati hayo hayo wengine wametoboaMazingira yanachangia watu kuwa masikini.
Umasikini ni matokeo ya akili kufungwa yaani kutoruhusu au kutafuta taarifa mpya zitakazokusaidia kuyachakata mazingira yako uone fursa.Umaskini huu umeuangalia mizizi yake lakini au unaongea juu juu tu?. Ulishawahi kuona tajiri amekuwa maskini? Je ni mambo gani hutokea n kupelekea hili kuwepo?. Huu ni umaskini wa tokeo la nn?
Na bila maskini , tajiri hawezi kuwepo, they are dependent to each other.kwenye mfumo wa kibepari(capitalism) lazima maskini wawepo.... lazima kuwe na 'working class'
sasa visababishi vyake sijui, ila ni lazima.
Ni matokeo tu ya fikra,Tena kwenye ubaperi ni rahisi kuwa tajiri kuliko kwenye ucomunistkwenye mfumo wa kibepari(capitalism) lazima maskini wawepo.... lazima kuwe na 'working class'
sasa visababishi vyake sijui, ila ni lazima.
Sizungumzii ukwasi,Na bila maskini , tajiri hawezi kuwepo, they are dependent to each other.
Watu wote wakiwa matajiri hakutakuwa na balance, hapo patatokea vita.
Kwa nn itokee vita?. Utajiri ni tokeo la kunyonya maskini.Na bila maskini , tajiri hawezi kuwepo, they are dependent to each other.
Watu wote wakiwa matajiri hakutakuwa na balance, hapo patatokea vita.
Nanauka ana utajiri kias ganNilichogundua hawa wanaojifanyaga ma-motivational speakers ndo wanakuaga na hali mbaya....ukiwatoa akina Joel Nanauka
We jamaa, umaskini ni tatizo la jamii nzima. Wew unalizungumzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hivi uko siriaz kweli?. Ina mana watu wote tukiwa na akili maskini hatakiwepo?Ni matokeo tu ya fikra,Tena kwenye ubaperi ni rahisi kuwa tajiri kuliko kwenye ucomunist
walau yeye namuona kwenye mazingira mazuri kiasi anakutana na watu wakubwa na vitu kama hivyo, japo naye ndo walewale ila sio hawa wengine tuliokutana nao mashuleni, vyuoni na sehemu zingine...hali zao ni mbaya sanaNanauka ana utajiri kias gan
Assume maskini wameisha, wote wamekuwa matajiri kwa namna Moja au nyingine, lazima itokee eidha vita au manipulation.Kwa nn itokee vita?. Utajiri ni tokeo la kunyonya maskini.