Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Mwenyewe nachekaga sana maana kwa dunia hii ilipofikia mtu huna hela utasema umefanikiwa nini?😃😃...ila sema nini, nimegundua pia maisha haya saizi hayahitaji userious, ujuaji wala kukariri. We have to dance kuendana na tune na kudeal na fursa zilizopo upande wako, ukisema ufuatishe watu unapotea maana kila mtu ana njia zake alizopita hadi akafanikiwa na sio zote anaweza akazisimulia watu mjue😊😊
Mkuu kuna wanawake kwao ndoa ina umuhimu kuliko utajiri ujue, yeye akipata ndoa anakua kafanikiwa kuliko kua tajiri. Ni ajabu ila wapo hawa viumbe wao wanaomba ndoa kuliko utajiri.
 
Umemsikiliza Rais wa South Africa kwenye G20 meeting anasema walienda WTO kuomba kutengeneza Chanjo za Covid walikataliwa. Big Pham zinanguvu kubwa mno
Waziri mkuu wa Italy aliwacha France kuwa wanasababisha wahamiaji ulaya kwa sababu hawataki Ex colony zao ziwe independent.
Hio chanjo walizuiwa kuitumia
 
Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato.

Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji.

Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe.

umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa Toka kwa watu kwa kubadilishana na kile wanachohitaji.

Mtaji ni 4H
1. Head
2. Health
3. Hand
4. Heart

Umasikini ni laana, kuzaliwa masikini hakumfanyi mtu kuwa masikini, kutokuwa elimu sio kisingizio cha kuwa masikini.

Utajiri unaozungumzwa hapa sio ule wa ukwasi Bali wa mtu binafsi kumudu kupata mahitaji yake na ziada.
Bongo mtu akimiliki kigari chake kibovu Cha milioni 5 anajiona yeye ndiye ana akili na wasiokuwa na gari basi hawana akili, wazembe, Wana laana nk

Maisha hayana formula, Kuna watu wanafanya zaidi ya waliotoboa lakini hawatoboi

Kuna watu wanahangaika na biashara kila siku lakini Mambo magumu

Kuna watu wameenda VETA wakasoma hizo fani wanazohimizwa watu wazisome lakini baada ya kurudi mtaani mambo magumu

Pia Kuna watu wamefanya Mara moja au chache na Mambo yanawaendea vizuri

Kama unapata matokeo katika unachofanyia mshukuru Mungu Kisha jitahidi kuwasapoti wenzako na sio kujiona wewe ndio mjanja na kudharau wengine
 
Back
Top Bottom