bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
- Thread starter
- #181
Masikini Wana smartphone lakini majority wanazimiss use zaidi wanaangalia visivyotija kwao zaidi ya kufurahisha ubongo tu via smartphone kuna masoko ya kuziona fursaSio kwamba sioni mchango wa teknolojia. Mm nauliza ni kwamba ni what extent this argument is tangible in both quantitative and qualitative terms?. Nani hajui kama smart phone maskini wanaxo na hawatoboi au unataka kuzungumza kuhusu matumizi?.
Kuna jamaa zangu wanagugo na kufanya adoption ya innovation za nje ya afrika. Wana Hali mbaya mpaka leo kula matunda tu mpaka mshahara utoke