bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
- Thread starter
- #201
Kibali ni uwezo,bahati,baraka alizonacho mtu za kuweza kufanikiwa ktk mambo yake.mfano unaweza ukawa masikini huna kazi baada tu ya kuoa unashangaa mambo yako yanafunguka unapata kazi,cheo,biashara zinakua.Kwani nyota au kibali ni nini?Tunazaliwa wote na nyota Vipi wengine wawe na nyota wengine wasiwe na nyota?
Au mtu anaanza na grocery inakuwa anamiliki bar,hiace kuu kuu baada ya mwaka mara coaster ndani ya miaka miwili basi mabus.Au kahamia mtaa maendeleo yanaonekana.
Wanazaliwa na nyota lakini zinachafuliwa au zinachukuliwa na wachawi au waganga,wanajifua wenyewe kwa matendo yao mfano uasherati kulala hovyo ni Kila ajae mbele yako au kununua Malaya nk.nyota ni biashara kubwa sana kati ya waganga na matajiri washirkina,waganga uiba nyota za watu na kuwauzia matajiri wa kishirikina.
yapo makundi matatu ya matajiri toka kwa Mungu,kwa shetani na atheist watu wasioamini upande wowote yaani Mungu au shetani.