Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Huna unachojua kuhusu umasikini. Hivi unadhani watu hawatumii akili kwenye utafutaji?? Watu mtaani tunaumiza vichwa tufanye mishe gani za kututoa kwenye huu umasikini!!. Wewe unasema umasikini ni ufinyu wa fikra.
Hivi unadhani maisha ni marahisi sio? Unaongea upuuzi mtupu, watu tunapambana watu kila mda tunawaza ubongo unafanya kazi masaa 24 lengo ni kutoka kwenye hili janga la umasikini halafu we unaleta kejeli zako