Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Nyota ya utajiri ndo nini?

Siamini kuhusu nyota mkuu, ni mambo ambayo hayapo. Ni knowledge, juhudi na nidhamu.
Sasa hivi ungekuwa unazunguka zunguka kwenye mwambao wa bahari, kuangalia wapi utasimika mtambo wako wa kuchimba mafuta, ila kwa sababu nyota ya utajiri huna, upo hapa jf tukijifunza nadharia ya kuwa tajiri 😀
 
Ten to thirty years to come value ya mafuta yatakuwa kama value ya maji.

Gold is everything.
 
Siyo yota tu, hata fikra za utajiri hana.

Hakuna mtafutaji wa pesa anayeweka pesa "savings", pesa ni lazima izunguke ili utajirike, hata iwe kidogo vipi.
Unaizungushaje pesa ikiwa huna muda wa kusimamia biashara wala investments?

Kumbuka huongei na mtu ambaye anavuna $5000 kwa mwezi , mishahara ya wabongo mnaijua na hapo hujajumlisha na expenses.

Savings na research haiepukiki, sio leo unasikia mtu anakuambia, buy dogecoin alafu hujafuatilia kuwa Benki Kuu ya Marekani hai-cut interest rates, unaingia kichwa kichwa unakula hasara
 
Watafutaji wa pesa hawaajiriwi hata kidogo. Wanaoajiriwa ni wale wenye pesa za urithi.

Unatakiwa uingie mtaani kuzungusha hata elfu moja moja kwa kuuza karanga, ndipo utapopata kutengeneza pesa.

katazame story za watu waliojitengenezea pesa wenyewe kama vile Bakhresa.
 
Watafutaji wa esa hawaajiriwi hata kidogo. Wanaoajiriwa ni wale wenye [esa za urithi.

Unatakiwa uingie mtaani kuzungusha hata elfu moja moja kwa kuuza karanga, ndipo utapopata kutengeneza pesa.

katazame story za watu waliojitengenezea pesa wenyewe kama vile Bakhresa.
Sawa.
 
Wakina Joel naniuke hao,wanawaweka vijana kwenye magroup ya WhatsApp alafu wanapiga show mkoa kwa mkoa sijui semina kwa kiingilio Sasa huko si kuwalubuni graduates,vijana wanatoka na notes wasijue hata namna ya kuzitumia,they are not applicable 60% kwa Tanzania labda mambele kule
 
Back
Top Bottom