bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
- Thread starter
- #21
Kwa sababu jamii imeshindwa kutafuta maarifa ya majibu ya matatizo Yao mfano makazi hali udongo upo,maji safi hali mkaa upo,lishe Bora hali mimea ipo,maji Hali umande upo,nishati mfano mafuta Hali taka zipo mimea ipo,utapiamlo Hali mlonge upo,sabuni Hali mbegu zipo,nkWe jamaa, umaskini ni tatizo la jamii nzima. Wew unalizungumzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hivi uko siriaz kweli?. Ina mana watu wote tukiwa na akili maskini hatakiwepo?