Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...



Nani alimsaliliti?

Kupora mali za watu kwenye ule ujamaa na badala yake kuwapa watu mafisadi wasimamie viwanda na mashirika yale aliyopora kwenye azimio la Arusha anakuwa alisalitiwa au alijisaliti mwenyewe?
 
Acheni masihara tuombe tu Mungu tusiingie kwenye huu mtego maana uchumi utarudi nyuma kwa speed ya light,, na kuja kuwa stable itatuchukua mda sana.

Mungu atuepushe tu na huu mtego wa hawa mabeberu,,
Utakua unamkosea Mungu wako kumuhusisha na mataizo yanayotokana na ushamba ulimbukeni wa ungozi
 
Duh...! Watu 16,000 wamefukuzwa kazi serikalini na kunyimwa mafao yao,watu wakashangilia,mzunguko wa pesa umekufa ,watu wakashangilia ,sasa watanzania ni watu au mazombii?
 
Nani alimsaliliti?

Kupora mali za watu kwenye ule ujamaa na badala yake kuwapa watu mafisadi wasimamie viwanda na mashirika yale aliyopora kwenye azimio la Arusha anakuwa alisalitiwa au alijisaliti mwenyewe?
Nina mashaka na UMRI wako, na jinsi ulivyo hadithiwa,
HISTORIA MASHULENI HAWA WAALIMU WANA POTOSHA WATOTO WETU,

ndio maana naanza kuona sasa VIJANA wanakosa UZALENDO.
 
Huna unalojua wewe,endelea kula na kulala siku ziende
 
Enzi hizo Mabalozi na ofisi za CCM matawi na Kata ndizo zilikuwa kila kitu. Zilikuwa zinafanya kazi ya Polisi na mahakama. Mgambo walikuwa wanaheshimika na kuogopwa sana.
Balozi wa nyumba kumi alimwaga DNA’s mtaani kwa kuhonga khanga, vitenge , sukari na battery mche wa mbuni na gardenia.
 
Balozi wa nyumba kumi alimwaga DNA’s mtaani kwa kuhonga khanga, vitenge , sukari na battery
Afadhali mabalozi wa nyumba kumi, Mgambo walifanya kufuru sana. Kwetu kulikuwa na mmoja anaitwa "Mikonyezo" huyu alikuwa hatari ukichanganya alikuwa anamiliki Vespa "Batavuzi".
 

Nmekumbuka mbali sana mbegu za mahindi zilikuwa zinaitwa Zimbabwe, kumbe zilikuwa zimetoka Zimbabwe, sijui kama bado zipo, nimeziona nineties, nilikuwa mdogo sana enz hizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…