mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Unalaumu Mabeberu tu. Unajua sababu we mpiga kinubi wa jiwe?Acheni masihara tuombe tu Mungu tusiingie kwenye huu mtego maana uchumi utarudi nyuma kwa speed ya light,, na kuja kuwa stable itatuchukua mda sana.
Mungu atuepushe tu na huu mtego wa hawa mabeberu,,
Maisha yalikuwa mabaya sana lakini tuliambiwa hakuna namna ni lazima tuishi kama ilivyokuwa. Mwalimu alikataa kugeuka nyuma ili asije kugeuka jiwe. Mwinyi ndiye alikuja kuruhusu biashara huria na vitu toka Kenya kuingia Tanzania.Dah
kama alivyosema mdau mmoja hapo juu kuwa Wananchi walikuwa wavumilivu sana kipindi hicho
Maisha yalikuwa mabaya sana lakini tuliambiwa hakuna namna ni lazima tuishi kama ilivyokuwa. Mwalimu alikataa kugeuka nyuma ili asije kugeuka jiwe. Mwinyi ndiye alikuja kuruhusu biashara huria na kurushu vitu toka Kenya kuingia Tanzania.
Kuna kitu kikubwa ambacho wengi hawajaona ktk kauli ya IMF (kama ikithibitishwa ni kweli wametoa hio kauli):Nakumbuka zama zile za miaka ya 1983 hadi 1984, niko tunaishi mitaa ya Makutano Mabibo jijini Dar es salaam na Kadi yangu ya Rangi ya Kijani ikiwa na maelezo ya Kaya yetu ndani Mwake.
Hayo yote yalisababishwa na Ugomvi wa Mwalimu JK Nyerere na wakubwa wa IMF na World Bank. Umaskini ule ulitutosha hatutaki hali ile ijirudie tena kwenye kizazi hiki.
CC: Mshana Jr Pascal Mayalla
Tusiombe ile hali ijirudie. Watu walikuwa wanakwenda kazini kwa kupakizwa kwenye Pick Up baada ya Magari ya UDA kutotosheleza. Jumapili Magari kutembea mwisho saa 8 mchana isipokuwa yale tu yaliyoruhusiwa kwa maana hakukuwa na mafuta ya kutosha.Aisee
Ngoja na sisi Ujamaa urudi kupitia mheshimiwa wetu hahahah
Omba Mungu usiwe na akili kama za wanaccmLissu anahusikaje na IMF/WB? Ndio anaesaini mikataba?
Tusiombe ile hali ijirudie. Watu walikuwa wanakwenda kazini kwa kupakizwa kwenye Pick Up baada ya Magari ya UDA kutotosheleza. Jumapili Magari kutembea mwisho saa 8 mchana isipokuwa yale tu yaliyoruhusiwa kwa maana hakukuwa na mafuta ya kutosha.
Dala dala zilianzia hapo baada ya UDA kuzidiwa na idadi ya Abiria. Magari binafsi yalikuwa yanatoza shilingi tano kwa nauli wakati UDA walitoza shilingi moja kwa mtu mzima na senti hamsini kwa watoto na wanafunzi.
Dola moja ilikuwa sawa na shilingi tano (Gwala) ya kitanzania kwa ivo magari yaliyotoza shilingi tano yakawa yaitwa "Dala dala".
Chanzo ni sera za mwenye heri mtakatifu Nyerere, hata vita na Uganda ulikuwa ni ugomvi binafsi wa mtakatifu na Idd Amin kwa sababu Milton Obotte alikuwa Tanzania na mipango yote ya kumpinduwa Idd Amin ilifanyikia Tanzania kwa baraka zote za Mtakatifu. Huu ndio ukweli.natamani sana kungetengenezwa documentary/ makala ya watu walioishu enzi hizi wakielezea hali ilivyo huku ikiwa na video zilizochukuliwa enzi hizo huku wataalamu wa historia na wachumu wakisimulia chanzo cha ushu hiyo.
it is very intersting story.
Wewe umeleta hoja gani hapa mezani? Jinga kabisa.Kinacho nishangaza watu badala ya kuleta historia halisi na hoja mezani kulingana na mtoa mada waliowengi mnatoa matusi alafu mnajiita ma Great Thinkers!!!!!! Kweli mnachofanya siyo sahihi
Mpuuzi sana wewe, kama nilicho andika huelewe shona akili zikukae vizuri usinizoeee mshenzi weweWewe umeleta hoja gani hapa mezani? Jinga kabisa.
Wewe ni jinga kabisa umeandika hoja ipi inayohusiana na thread hii, pumbavu kama wewe ni wa kutia makonzi tu. Fanculo.Mpuuzi sana wewe, kama nilicho andika huelewe shona akili zikukae vizuri usinizoeee mshenzi wewe
Wewe ni jinga kabisa umeandika hoja ipi inayohusiana na thread hii, pumbavu kama wewe ni wa kutia makonzi tu. Fanculo.
[/QUOT
Maandishi yako yanasawiri malezi na makuzi yako, lakini hata akili yako nadhani iko hivyo
Enzi za chama kushika hatamu,
Tatizo una changanya Mambo,
1.Nyakayi i.e. kipindi cha kutupa hela na kumiliki Mali e.g. TV
2.UJAMAA na MASHARTI YA MABEBERU, hata sasa wanataka USE SHOGA, je utakubali??? wana gawa kondomu, ili hali, nyenzo za umiliki Mali wana zishikiria, UNAPEWA ELIMU YA MATUMIZI na sio MATENGENEZO, e.g. simu, laptop n.k
n.b. JAMBO USILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA, usimlaumu mwl, sema tu ALI SAILTIWA.....
Sawa bwana!Ujamaa ni nadharia na ni ngumu kuwa katika halisi, sababu hulka ya mwanadamu ni u binafsi.Nyerere alitufanyia mengi sana Mazuri mfano kuunganisha watu umoja wa kitaifa,undugu wa kitz,ardhi kuwa si Mali binafsi ila alifanya makosa kuleta ujamaa na azimio la Arusha.Mi naukubali sana ubepari kwani unachochea kukua kwa uchumi na kumfanya masikini apate nafuu. Hulka ya tajiri ni kutaka zaidi kutaka zaidi umfanya azidi kufungua miradi mingi zaidi ambapo masikini watapata ajira na serikali itapata kodi zaidi kupitia Tozo mbali mbali.
Nae
Nakumbuka vizuri kipindi hiki Nyerere alituahidi miezi 18 ya njaa lakini badala yake ikawa ni ufukara wa kudumu, mbaya zaidi akamteuwa waziri mkuu kichaa ndio ikawa mshike mshike hasa.
Ila mimi mtaani kwetu tulipata bahati tulikuwa na brother ni mtundu wa kuiga signature gari la ugawaji likija foneni ya kuweka sign kwenye vitabu tulikuwa hatukai jamaa akiangalia tu zile saini za makarani wa siku hiyo mchezo umeisha anazipiga vilevile
Ila Zimbabwe inasikisha zaidi mwaka 1997 nilipita Zimbabwe transit nakumbuka nilitoa noti ya Zim dola 5 kununuwa hot dog na cicacola can lakini bado nilirudishiwa chenji ya kwacha kadhaa by that time Zimbabwe walikuwa wanatumia sarafu mbili kwa wakati mmoja ila Zim dola ilukuwa powerfull zaidi ilikuwa ikichuana na Rand ya Sourh Africa na Pula ya Botswana.
By the way jana Pasaka jana mji umepowa utadhani ni karume day, nadhani wenzetu wanaccm walikuwa sehemu yao maalum wanafurahia sikukuu.
Taarifa sahihi iko wapi mkuu zaidi ya maisha magumu waliyonayo watanzania,?Uchumi ni kama mimba huwezi kuficha,mwambieni jamaa yenu 2020 astaafu kwa heshima na Dunia itamkumbuka kwa hekima endapo ataondoka kwa kustaafu mwenyewe.Sina maana HIYO, na sija isifia.
But, TAFUTA taarifa sahihi....
Mimi nakumbuka tulikuwa tunatengeneza kahawa bila sukari tunakula na viazi vitamu Au linatengenezwa togwa la ndizi linawekwa kwenye uji. Maisha hayo yalikuwa magumu sana.Miaka hiyo ya 83-84 kule vijijini hali ilikuwa mbaya mno bora ya DAR kidogo nakumbuka mwaka 88 sukari ilikuwa hadimu kwelikweli ambapo wazazi wetu walikuwa wananunua zile pipi za rangi zinasagwa na zinatumiwa kama sukari kwenye chai....