mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Asikudanganye mtu the world is controlledSijuaji kwani hawa IMF wakiikataa nchi yoyotre kinachofuata ni ukame .
Mfano angalia Zimbabwa na Nchi nyingine ziliingia kwenye mtego huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikudanganye mtu the world is controlledSijuaji kwani hawa IMF wakiikataa nchi yoyotre kinachofuata ni ukame .
Mfano angalia Zimbabwa na Nchi nyingine ziliingia kwenye mtego huu
Ni kweli kabisa zipo ni vile sasa Mkukima akishavuna anachagua yale ya Mbegu ana hifadhi kwa ajili mwaka unaofuataNmekumbuka mbali sana mbegu za mahindi zilikuwa zinaitwa Zimbabwe, kumbe zilikuwa zimetoka Zimbabwe, sijui kama bado zipo, nimeziona nineties, nilikuwa mdogo sana enz hizo..
NaeNakumbuka zama zile za miaka ya 1983 hadi 1984, niko tunaishi mitaa ya Makutano Mabibo jijini Dar es salaam na Kadi yangu ya Rangi ya Kijani ikiwa na maelezo ya Kaya yetu ndani Mwake.
Mchana wa jua kali la Darisalama tukiwa tumekaa barabarani kusubiri gari la "Ugawaji" litaelekea mwelekeo upi na sisi tulifukuzie kwa nyuma. Hakuna aliyejua leo ni zamu ya duka gani kupelekewa chakula ama mahitaji mengine muhimu ili wakazi wa eneo letu waende wakanunue.
Shuleni wanafunzi wanavaa nguo zisizo na rangi maarufu kama "Maradufu" kutokana na viwanda vya kuzalisha nguo kukosa rangi za kuweka ili vitambaa hivyo viwe na rangi ya Bluu Maalum zama hizo kwa sare za shule za msingi.
Mitaani watu wanavuta sigara kwa "Puff" kwa hela ulizo nazo. Watu wanafua nguo zao kwa kutumia majani ya mpapai, sukari inakaangwa ili kutengeneza chai kwa kuwa hakuna majani ya chai na wenye majani ya chai wanaweza kutumia sukari guru badala ya sukari ya kawaida kama kiungio.
Unakwenda kwenye duka la ushirika kwa mfano kununua Sukari unalazimshwa kununua na kitu kingine kwa mfano Chujio la chai ama birika. Watu wa Darisalama tuliteseka sana na wanawake wengi walibakwa na watu waliojifanya wana bidhaa hizo "adimu" majumbani mwao.
Wakati ule Mgambo na wenyeviti wa maduka ya Ushirika walikuwa kama ni Miungu watu. Sisi kwetu kulikuwa na mgambo aliyetembea na wake za watu alivyopenda kisa yeye ana nafasi kubwa sana ya kupata vitu kwenye duka la Kaya la Mtaani kwetu.
Hayo yote yalisababishwa na Ugomvi wa Mwalimu JK Nyerere na wakubwa wa IMF na World Bank. Umaskini ule ulitutosha hatutaki hali ile ijirudie tena kwenye kizazi hiki.
CC: Mshana Jr Pascal Mayalla
Nakumbuka vizuri kipindi hiki Nyerere alituahidi miezi 18 ya njaa lakini badala yake ikawa ni ufukara wa kudumu, mbaya zaidi akamteuwa waziri mkuu kichaa ndio ikawa mshike mshike hasa.Nakumbuka zama zile za miaka ya 1983 hadi 1984, niko tunaishi mitaa ya Makutano Mabibo jijini Dar es salaam na Kadi yangu ya Rangi ya Kijani ikiwa na maelezo ya Kaya yetu ndani Mwake.
Mchana wa jua kali la Darisalama tukiwa tumekaa barabarani kusubiri gari la "Ugawaji" litaelekea mwelekeo upi na sisi tulifukuzie kwa nyuma. Hakuna aliyejua leo ni zamu ya duka gani kupelekewa chakula ama mahitaji mengine muhimu ili wakazi wa eneo letu waende wakanunue.
Shuleni wanafunzi wanavaa nguo zisizo na rangi maarufu kama "Maradufu" kutokana na viwanda vya kuzalisha nguo kukosa rangi za kuweka ili vitambaa hivyo viwe na rangi ya Bluu Maalum zama hizo kwa sare za shule za msingi.
Mitaani watu wanavuta sigara kwa "Puff" kwa hela ulizo nazo. Watu wanafua nguo zao kwa kutumia majani ya mpapai, sukari inakaangwa ili kutengeneza chai kwa kuwa hakuna majani ya chai na wenye majani ya chai wanaweza kutumia sukari guru badala ya sukari ya kawaida kama kiungio.
Unakwenda kwenye duka la ushirika kwa mfano kununua Sukari unalazimshwa kununua na kitu kingine kwa mfano Chujio la chai ama birika. Watu wa Darisalama tuliteseka sana na wanawake wengi walibakwa na watu waliojifanya wana bidhaa hizo "adimu" majumbani mwao.
Wakati ule Mgambo na wenyeviti wa maduka ya Ushirika walikuwa kama ni Miungu watu. Sisi kwetu kulikuwa na mgambo aliyetembea na wake za watu alivyopenda kisa yeye ana nafasi kubwa sana ya kupata vitu kwenye duka la Kaya la Mtaani kwetu.
Hayo yote yalisababishwa na Ugomvi wa Mwalimu JK Nyerere na wakubwa wa IMF na World Bank. Umaskini ule ulitutosha hatutaki hali ile ijirudie tena kwenye kizazi hiki.
CC: Mshana Jr Pascal Mayalla
Asikudanganye mtu the world is controlled
Mfikirie na aliyewatoa huko.Kwa maana wakati tunakuwa huko chama tawala kilikuwa Frelimo? Nyie viben ten mna shida sana
Angalia budget hadi Leo hela wanatoa nani?Kama ndio hivyo kwa nini tusiwarusu wafanye kazi yao.
Mku mficha maradhi mwisho huumbuka kwa nini hujiulizi ukimya wa viongozi unasababishwa ni hili kwa dunia ya sasa hakuna kinafichika kwani iko wazi sana.
Tunataka kumtwisha Mungu jukumu lisilokuwa lake. Katuumba tofauti na wanyama kwa kutupa akili na utashi ili tuweze kuitawala dunia na vilivyomo. Tukishindwa kutatua matatizo yetu sisi wenyewe hilo ni tatizo letu na siyo lake!Dah zilikuwa siku mbaya sanatorium, tumuombe Mungu zisirudi. Nakumbuka chenga za unga wa mahindi zinapikwa ubwabwa!
Angalia budget hadi Leo hela wanatoa nani?
Mimi na wewe tu ,tukiacha hela nyumbani lazima ufuatilie, hela uliyoiacha na matumizi ya kulishwa mchicha vinaendana?it's a natural law when you are dependant ,so ni ujinga tu kutunushia misuli ma sponsor wako ,it's the matter of time
TL bado hajawa RaisMwambie sasa Tundu Lisu aache ujinga anaoufanya kama kweli unamaanisha na hutak turud huko
natamani sana kungetengenezwa documentary/ makala ya watu walioishu enzi hizi wakielezea hali ilivyo huku ikiwa na video zilizochukuliwa enzi hizo huku wataalamu wa historia na wachumu wakisimulia chanzo cha ushu hiyo.Nakumbuka zama zile za miaka ya 1983 hadi 1984, niko tunaishi mitaa ya Makutano Mabibo jijini Dar es salaam na Kadi yangu ya Rangi ya Kijani ikiwa na maelezo ya Kaya yetu ndani Mwake.
Mchana wa jua kali la Darisalama tukiwa tumekaa barabarani kusubiri gari la "Ugawaji" litaelekea mwelekeo upi na sisi tulifukuzie kwa nyuma. Hakuna aliyejua leo ni zamu ya duka gani kupelekewa chakula ama mahitaji mengine muhimu ili wakazi wa eneo letu waende wakanunue.
Shuleni wanafunzi wanavaa nguo zisizo na rangi maarufu kama "Maradufu" kutokana na viwanda vya kuzalisha nguo kukosa rangi za kuweka ili vitambaa hivyo viwe na rangi ya Bluu Maalum zama hizo kwa sare za shule za msingi.
Mitaani watu wanavuta sigara kwa "Puff" kwa hela ulizo nazo. Watu wanafua nguo zao kwa kutumia majani ya mpapai, sukari inakaangwa ili kutengeneza chai kwa kuwa hakuna majani ya chai na wenye majani ya chai wanaweza kutumia sukari guru badala ya sukari ya kawaida kama kiungio.
Unakwenda kwenye duka la ushirika kwa mfano kununua Sukari unalazimshwa kununua na kitu kingine kwa mfano Chujio la chai ama birika. Watu wa Darisalama tuliteseka sana na wanawake wengi walibakwa na watu waliojifanya wana bidhaa hizo "adimu" majumbani mwao.
Wakati ule Mgambo na wenyeviti wa maduka ya Ushirika walikuwa kama ni Miungu watu. Sisi kwetu kulikuwa na mgambo aliyetembea na wake za watu alivyopenda kisa yeye ana nafasi kubwa sana ya kupata vitu kwenye duka la Kaya la Mtaani kwetu.
Hayo yote yalisababishwa na Ugomvi wa Mwalimu JK Nyerere na wakubwa wa IMF na World Bank. Umaskini ule ulitutosha hatutaki hali ile ijirudie tena kwenye kizazi hiki.
CC: Mshana Jr Pascal Mayalla
Tulikuwa hatuna majani ya chai hizo Kamera za kupigia picha za Video zingetoka wapi ndugu yangu!?natamani sana kungetengenezwa documentary/ makala ya watu walioishu enzi hizi wakielezea hali ilivyo huku ikiwa na video zilizochukuliwa enzi hizo huku wataalamu wa historia na wachumu wakisimulia chanzo cha ushu hiyo.
it is very intersting story.
TL anahusika vp?Mwambie sasa Tundu Lisu aache ujinga anaoufanya kama kweli unamaanisha na hutak turud huko
Tulikuwa hatuna majani ya chai hizo Kamera za kupigia picha za Video zingetoka wapi ndugu yangu!?
Yaani tulipoletewa mchele kitumbo tuliona kama tumeingia Mbinguni maana mchele Mdundiko ulishatuchosha wana wa Darisalama.Hahahhahaha
Majani ya chai yalikuwa hayapo wakati chai inalimwa mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya , Songwe, kagera, Kilimanjaro na Tanga!!!!!!!
Lissu anahusikaje na IMF/WB? Ndio anaesaini mikataba?
Mwambie sasa Tundu Lisu aache UJINGA/UKWELI anaoufanya kama kweli unamaanisha na hutak turud huko
Yaani tulipoletewa mchele kitumbo tuliona kama tumeingia Mbinguni maana mchele Mdundiko ulishatuchosha wana wa Darisalama.
Umesema ukweli na kunikumbusha mbali ila tofauti na sasa, wakati ule angalao pesa ilikuwepo sasa hata pesa hakuna mtaani hali itakuwa mbaya sana. Heri dikteta mwenye akili kuliko dikteta kilazaNakumbuka zama zile za miaka ya 1983 hadi 1984, niko tunaishi mitaa ya Makutano Mabibo jijini Dar es salaam na Kadi yangu ya Rangi ya Kijani ikiwa na maelezo ya Kaya yetu ndani Mwake.