Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

Zile noti ukizitoa kwenye labberband ni nyingi [emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa nazitoa zote nazitawanya kwenye kitanda kisha napiga nazo picha [emoji23][emoji23] siku nimefirisika kwa hasira nikafuta picha zote
 
Kuna mtu kariakoo aliuza nyumba ya urithi.
Halooo advertise yake akaenda China [emoji630].

Kula wanawake wa kichina kiarabu n. K.
Anakuambia kule hakugusa rangi nyeusi yeye nyeupe tu.

Alirudi bongo akiwa hana sh mia zaidi ya laptop 4 [emoji23][emoji23][emoji23] tshirt ya pepsi inayowaka waka taaa mbele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa ni shatani mkuu. Kuzitafuta kazi lakini kuporomoka nikama anae kwea mnazi
 
Mimi nikiwa mwaka wa kwanza pale ud nilikula mkeka milion 4...cha kwanza kabla ya yote nilienda q bar kununua bitch la kizungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].... aisee ile pesa haikumaliza mwezi, kipindi kile sun sirro ipo juu naenda ijumaa chuo narud jumatatu
 
Kula maisha ndugu yangu haya ndo mambo ya kusimuliana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijabahatika kushika hela nyingi kias fulan, wallah swez fanya ujinga wa kupoteza kirahisi, mfn mil 5 zinaishaje bila kufany jambo la maana? Hapan kwangu haiwezekan aseeeeeh
 
Sijabahatika kushika hela nyingi kias fulan, wallah swez fanya ujinga wa kupoteza kirahisi, mfn mil 5 zinaishaje bila kufany jambo la maana? Hapan kwangu haiwezekan aseeeeeh
Bro unajidanganya

Kutafuta pesa ni kitu kingine lakini kuzi maintain hapo ndio kuna mziki.

Utazipata tu mkuu utajionea tena unaweza pata zaidi ya mara 5 nyingi unarudia makosa yale yale zinapotea, ndio maana masikini ni wengi kuliko matajiri

Tajiri licha ya kuwa uwezo wake wa kutafuta ni mkubwa na kutunza na kuwekeza pia wako vizuri sana
 
Pesa nyingi ya kwanza kushika LAZIMA utaipoteza bila kuelewa inaishaje kwa kuwa
1. Una ndoto za kufanya mengi
2. Una obsession ya vitu vitakavyokufurahisha...

Ila ukishaipoteza... basi utakayopata ya pili utakua mstaarabu kidogo.... then ya tatu utaelewa nn cha kufanya....

Tatizo ni gap ya muda unayoipata... je iko karibu ama gap ni kubwa.
 
Hahaha hii iko poa kama mkinga vile
 
Sijabahatika kushika hela nyingi kias fulan, wallah swez fanya ujinga wa kupoteza kirahisi, mfn mil 5 zinaishaje bila kufany jambo la maana? Hapan kwangu haiwezekan aseeeeeh
Subir ukishika mzigo ndo utajua huwa zinaishaje....
Sometime unaweza kuwa na malengo.. ukaweka katika biashara ila biashara haifanyi vizur... so, pesa inaisha...

Never say never mzee
 
Subir ukishika mzigo ndo utajua huwa zinaishaje....
Sometime unaweza kuwa na malengo.. ukaweka katika biashara ila biashara haifanyi vizur... so, pesa inaisha...

Never say never mzee
Kwangu haiwezekani
 
mkuu ukiachana na umaskini tamaa nayo mbaya sana aiseh.....nishachoma mil 2 mara kadhaa kisa tamaa ya pesa ndefu.....sema biashara hiyo ingekutoa zaidi....
 
Mkuu umeandika ukweli sana aseee,

Mimi pia nimepoteza sana pesa kwa mambo ya kijinga japo si sana ila pesa nyingi nimepoteza kwa kuamini watu kwenye bzness nimekuwa mtu wa kuchukua risk sana ila tatizo linakuja kwenye suala la uaminifu aseee wabongo tunafeli hapo, madeni nayodai watu ni million za shilingi na sioni dalili za kurejesha hizo pesa manake mtu mnadaiana mwisho wa siku unaamua kumuacha kama alivyo maana ni kupoteza muda na kuongeza stress tu, sometime unapata shida unaikumbuka pesa yako unabaki kumlaani tu.

Ila sijawahi kukata tamaa manake kila hatua nayochukua naona mafanikio na kujifunza zaidi (ukipoteza pesa kwenye jambo la maendeleo si sawa na kupoteza pesa kwenye anasa)... Akili yako ndio utajiri wako ila wabongo tunafelishana sana aseeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…