Mleta mada anazungumzia kujenga nyumba. Stick to the point.Kizuri kichukue kibaya achana nacho. Wahindi ni katika watu wenye mafanikio makubwa katika kurithisha watoto wao mali zao tena na tena. Ni kwa sababu wanajua jinsi ya kuitumia pesa kuongeza ziwe zaidi bila anasa. Somo hilo litakufaa wewe na hata wanaokuja baada yako
Sisi ngozi nyeusi mungu atusaidie tu mzee,tuna roho nyeusi na za kichawi sanaKama kulipa kodi ni kumtajirisha mtu, huoni hiyo kwake ni biashara?
Na ikiwa ni hivyo basi, hizo biashara unazotaka kila mtu aanzishe, kununua kwako si kukutajirisha!
Mentor wangu kaongea mimi nani nibishe.Hata mtu mzima kabisa anakosea ktk baadhi ya matendo yake
lakini kukosea kwake hakumaanishi kua anachokifanya yupo sahihi
ukiwa kama mtoto unaetaka kufika mahali,yapasa ujue kuchuja mazuri na mabaya
chukua mazuri acha mabaya,songa mbele Wahindi wana mazuri mengi ila hilo la kupanga HAPANA.
Maisha ndio hayo hayo, mambo mengine ni maboresho tu.Hiyo inaitwa nina kwangu na kausafiri kangu. Mungu anipe nini? Anipe donda?
Kweli mkuu kama mm tarehe ishirini anavuta cash inaniuma hatariMkuu nipo tofauti na ww kimtazamo kwa hoja zifuatazo.
Kwanza kuna mahitaji muhimu makuu matatu ya mwanadamu:
1.Chakula
2.Mavazi
3.Malazi
Ukiacha mahitaji mawili tajwa hapo juu hilo hitaji la tatu MALAZI ni hitaji muhimu sana kwa mwanadamu yoyote. na tunapoongelea MALAZI hatuongelei KITANDA tunaongelea sehemu ambayo mwanadamu anaweza kujihifadhi katika hali zote na apo tunaongelea NYUMBA.
Usipokua na nyumba ww bado ni MASKINI NA MKIMBIZI USIYE NA MAKAZI MAALUMU NA BADO hujakava mahitaji yako muhimu.
Huna pako na mwenye nyumba anaweza kukufukuza muda wowote anaotaka na kukuaibisha kwa sababu ww ni MKIMBIZI NA HUNA PAKO. Ukiugua, kazi ukafukuzwa, biashara zikayumba ukawa huna hela mfukoni mwenye nyumba atakufukuza kama mbwa koko na kukunyang'anya vyombo vyako mali zako na kubaki maskini zaidi na zaid. Utatanganga tanga bila stahaa na watoto na mke wako.
Kwnye context ya uchumi kuna ASSETS NA LIABILITIES. nakubali kweli nyumba ya kuishi ni Liability lakini kuna kitu Tunakisahau nacho ni WELFARE.
WELFARE ni hadhi ya maisha ambacho ni kitu muhimu sana kwenye maisha.
Kama umepanga ww hadhi yako ya maisha still ipo poor.
Mf: Kuna sehemu nilipanga mwenye nyumba hataki wageni waje kwangu eti choo kinajaa. Daah niliumia sana na nikahama ndo maana napambana usiku na mchana nimalizie site yangu nihamie. Sipendi fedheha za nama hii.
Kua kwako kuna raha sana acha tuu..
WATANZANIA TUJENGE NYUMBA BORA KWA MAENDELEO YETU, NYUMBA NI MAISHA JAMANI. HATA MAISHA YAKITETELEKA NYUMBA ITAKUSITIRI SANA. UNAKULA ZAKO MCHICHA UNALALA. LAKIN KOSA KODI UTAJUA NINACHOKIONGEA HAPA KAMA CHA MAANA AU CHA KIPUUZI.
Hata mimi mwaka huu niliweka lengo la kujenga kua namba moja asante kwa kunibrain wash ngoja ni rearrange mipango biashara iikaae juu kabisa nisije anza kukopa ili nileHakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo. Ndoto za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Watu wengi TZ wanashindwa kuelewa kuwa biashara ya real estate inaendeshwa kwa mikopo, Mtu anachukua real estate loan benki anaweka down payment ya asilimia kadhaa e.g 20% benji inalipa asilimia iliobaki, kisha anatumia asilimia pesa ya kodi anazokusanya kulipa deni kila mwezi, baada ya miaka kadhaa, jengo linakuwa la kwake huku ameingiza faida kwa miaka karibu yote na finally anamiliki ile nyumba na arudia tena na tena.Kama uyasemayo ni kweli, elewa kuwa mahesabu yanakupiga chenga Mkuu. Huwezi kujenga nyumba ukapangisha ukapata utajiri. Nitakupa mfano. Nyumba za NHC huko Dodoma zinauzwa Million 78. Hizo nyumba zinapangishwa kwa 350,000/=.
Kwa mantiki hiyo mmiliki atasubiri miezi 223 kurejesha hela yake! Ambayo ni miaka 19. Wakati huo huo lazima kila baada ya miaka 5 ifanyike repair na akisubiri ifike miaka 10 itakuwa imekula kwake.
Kimahesabu Chumba na sebule Dar ni gharama ya million 10 kukijenga hadi mtu kuingia ndani kimekamilika. Kodo yake ni laki moja. Hivyo ni kama miaka 9 kikiwa na wapangaji utarudisha hela yako. Je, hii ni biashara kweli au biashara kichaa. Jioni njema
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo. Ndoto za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Nenda pale tegeta nyuki stendi ulizia mfanyabiashara yoyote mle ndani ya soko akuelekeze mwenyekiti wa soko utapewa utaratibu woteSalam wadau wa JF
Kwa wenye uzoefu wa kupanga Frame hapa Dar Es salam, bei za kupanga kwa maeneo yafuatayo :-
Mwenge
Tegeta
Bunju
Ubungo
Buguruni
Sinza
NB: Nitafurahi kama nitapata bei za kupanga Mkabala na barabara au umbali kidogo (200m toka barabarani)
Ahsante
Kama Kuna kaukweli fulani, juzi nimemsikia jamaa anabishana na mwenzie, anamuambia Mimi nakaa kwangu Sina presha ,hata nikihamka saa tano sidaiwi Kodi, nikaona haya Sasa Ni mawazo ya kimasikiniHakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo. Ndoto za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Unahitaji frame kwa ajili ya biashara gani? Ipo moja sinzaSalam wadau wa JF
Kwa wenye uzoefu wa kupanga Frame hapa Dar Es salam, bei za kupanga kwa maeneo yafuatayo :-
Mwenge
Tegeta
Bunju
Ubungo
Buguruni
Sinza
NB: Nitafurahi kama nitapata bei za kupanga Mkabala na barabara au umbali kidogo (200m toka barabarani)
Ahsante
Hutakuwa tajiri kamwe. Ila utakuwa mstaafu mwenye amanHapana mie napenda tu ujenzi. Niliona biashara easy kwangu ni kujenga na kupangisha watu (real estate) haina stress kama biashara nyingine na pia unaifanya huku unaendelea na kazi zake za kuajiriwa. All in all mtu ukiwa na makazi yako inakuondolea sana usumbufu ingawa katika stage fulani ya maisha lazima upange ila mambo yakikaa sawa jenga. Wapangaji wangu wengi nawashauri hivi.