Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

Umemaliza mkuu, umeongea kama mtu mzima mwenye akili zako timamu haswa.
Hakika mkuu

Hao wahindi wapo hapa kwetu na popote duniani kwa ajili ya kutafuta.

Mali na mambo mengine wanahamishia kwao.

Sio wa kuwafata life style ya maisha yao.
 
Kwa mtumishi wa umma kuishi kweye yumba za kupaga aibu labda tu kama mhusika hajitamubui!
Kwa hiyo akipata uhamisho huyo.mtumishi wa umma anayejitambua kila anakohamishiwa inabidi ajenge nyumba ya kuishi?
 
Uko sahihi Mkuu, hilo ni kosa hata mimi mwenyewe nililifanya wakati naanza maisha ila nikarekebisha baadae, ila ni baada ya miaka kumi ilishapita tangu kuanza maisha, na ni ktk kubadilishana mawazo na wenzetu waliotutangulia ktk kufanikisha maisha ndio nikajua,niligeuka kama faru aliyepote njia.
 
Sasa mm mfano niwe nigeria natafuta maisha nitajenga hapo kamwe huwezi kujenga ugenini ikiwa hujajipanga kimaisha

Nitajie nchi 1 tu ambayo ina land kukabiliana na tanzania ambayo wananchi wake wanapend kupanga kuliko kujenga nyumba ya kwake ya kuishi

hajakamilika MWANAUME bila kuwa na hivi vitu
Familia (mke ma watoto)
Nyumba
Usafiri

Sasa za wapi hizo upange nyumba miaka 40 kuwahiga wahindi
 
Mtoa mada hajapinga kujenga nyumba au kuwa na kwako kwa maana kuachana na mwenye nyumba ambaye kila mwezi amekugeuza kitega uchumi bali anazungumzia thamani ya nyumba. Kwanini uwekeze million 100 kwenye nyumba ambayo haikuingizii pesa yoyote, kabla ya kuwa na biashara au uwekezaji?Hoja ipo hapo.
Hata hao wahindi kwao wana nyumba wamejenga. Huwezi kuwa unaishi say Afrika Kusini ukafikiria kujenga huko. Utapanga na kufanya biashara au shughuli yoyote halali. Hii dhana ndio ipo kwa wahindi, hapa wahindi sio kwao. Kwa baadhi wenye fedha nyingi sana uwa wanajenga maeneo kama masaki, upanga n.k na wengi uwa wananunua apartment.

Halafu kujenga sio umasikini, kumiliki nyumba ni jambo bora sana katika maisha maana nyumba ni kitu ambacho kinakupa mengi sana ikiwepo kukupunguzia gharama za kodi, kukuondolea stress za kutokuwa na kwako na pia hata ukipata tatizo la kiuchumi unakuwa na pa kuanzia.

Nyumba ni kitu ambacho hata ukiondoka duniani ghafla familia yako inakuwa na sehemu ya kuanzia kuliko ukiwa huna nyumba.

Nyumba ni muhimu katika ukuaji wa miji na Taifa kwa ujumla. Unavyoona nje yale majengo ni kwamba watu wamewekeza ndio maana kunapendeza. Na sisi tujenge majengo kukuza nchi yetu. Tuachane na wahindi wale hapa sio kwao ndio maana hawajengi. Tena si wahindi tu hata wazungu hawajengi hapa kwa kuwa si kwao hapa watachuma tu ila kujenga wataenda jenga kwao
 
Hayo ni mawazo ya 99.9% ya watu wote duniani wanawaza kufanya na ndio maana hawafanikiwi, anachomaanisha ni uwekezaji, nunua assets na sio liabilities.
 
Kwa wafanyabiashara kuanza kuingiza mamilioni kwenye mjengo kabla ya biashara kustabilize ni kosa ila kwa mwajiriwa ni sawa kuanza kujenga nyumba ili kukwepa gharama za kodi.
 
Sasa wewe uliyeleta uzi ina maana umepanga, let's say huyo mwenye nyumba na wengine wangekuwa boya kama wewe je ungepangisha kwa nani? Wahindi wengi wananunua majumba na mahekalu huko Canada na kwingineko duniani kwa sababu wanajua nyie Waafrika hamueleweki, yule mpuuzi Iddi Amini wa Uganda aliwapa somo kubwa na likawaingia.
 
Huo sio umaskini, isipokuwa kila mtu yupo na kipaumbele chake. wahindi au foreigner yeyote huwaga wanapanga hata awe na pesa kwa kiasi gani sababu nchi aliyomo si kwake. lakini wanajenga huko nchi kwao

Kujenga nyumba ni ndoto ya watu waliowengi lakini pia hio nyumba kwa nchi za kiafrika especially Tz pia zinatumika kama source of income.

usiilaze akili yako kwa kufikiria zaidi biashara ulizonazo ila jaribu kujenga fikra kwa mtu aliyena nyumba anatengeneza pesa kiasi gani kupitia wapangaji wake.
 
Hii mada imeletwa na kijana anayejaribu kujenga awamu ya 5. Waliojenga awamu zilizopita mbona wako fresh tu. Pambana mkuu cement 16k+ usijifiche kwenye kichaka cha wahindi
Umemaliza kila kitu
 
Mtoa uzi huu atakuwa anaishi kwao thus why anatuletea habari za kusadikika
Hatuwez kuishi maisha ya watu wa bara lingine wakat waafrika hyo ndio asili yetu
 
Hayo ni mawazo ya 99.9% ya watu wote duniani wanawaza kufanya na ndio maana hawafanikiwi, anachomaanisha ni uwekezaji, nunua assets na sio liabilities.
Sio wote hawajafanikiwa mimi nina kazi na Nina biashara Pamoja na nyumba za kupangisha. Nimeridhik
 
Ni kweli maisha ni nyumba ila kuwekeza saving yako yote kwenye nyumba huo ndio umaskini tunaozungumzia. Let's say una miaka 35 na una watoto watatu, kwa mimi nitajenga nyumba ya kuishi kwa maana ya bajeti ndogo isiyozidi million 15 ili niweze kutoka kwenye mzunguko wa mwenye nyumba. Alafu chenji inayobaki nitafanya biashara au uwekezaji ambao utaniingizia pesa. Baada ya muda mambo yamekaa sawa ndio nitajenga nyumba ya hadhi (status) ya ndoto yangu, huku nyumba yangu ya kwanza nitakuwa nimeweka mpangaji.
 
Back
Top Bottom