Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mashoga na utetezi wa kishoga, yanataka yaachwe. Shoga anaamini mali ni bora kuliko utuNina wasiwasi na wewe
Hawa jamaa unawaona hapa wakipeana malike ni wanyanyasaji na wengi wao sio watu wa hapa Tanzania. Hakuna mtu anyejielewa anaweza kuanza kujidhihaki. Hakuna.Mkuu jichunguze sana. Huwezi kulalamikia kulala kwenye nyumba ya nyasi wakati kila mtanzania chimbuko lake ni huko. Pia sidhani kama post yako umetumia akilo kulinganisha ushoga na usagaji na umasikini wa kulala kwenye nyumba ya nyasi na kufungia mabua mlangoni wakati hiyo ndo asili yetu. Kwani lini Watanzania wote wamewahi kumiliki magorofa then wakapoteza vyote na kulala kwenye nyasi...??. Ivi ulishawahi kufikilia nn maana ya kupoteza utu..??. Ivi ukijua kuwa either mtoto wako, mshua wako, kaka, mdogo wako, or ndugu yako yeyote anapigwa nyuma unaweza kulichukuliaje....??. Ebu tulizeni akili kwanza kabla ya kupost vitu kama hivi. Vinginevyo watu watakuchukulia kuwa na wew ndo wale wale.....
Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji.
Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa katika nchi hii.
Leo hii kuna wanafunzi wa msingi wanakwenda shule na yeboyebo mbovu na wengine miguu ya bata kabisa.
Binafsi naumia sana kuuona ufukara namna hiyo.
Leo hii kuna nyumba zinafungwa kwa milango ya mabua lakini watu hawapigi kelele.
Hata mashoga wengine ni impact ya ufukara tu.
Ushoga mbaya ila umaskini na ufukara ni mbaya zaidi.View attachment 2574244
Kwahiyo umaskini ndio sifa kwenu wanyonge?Uwe na hela halafu litoto lako lisenge
Hapo ndio maji utaita manjota
Huwa naona aibu Sana uongelea ushoga sijui naanzaje Yani!!!Huwa nashangaa nakosa jibu!! Mwanaume unamtamanije mwanaume!??unaanzaje!?Kama taifa haya ndiyo masuala yenye tija kujadili, hayo ya ushoga na usagaji ni aibu na fedheha kujadili
90%ya watanzania hawana uwezo wa kujadili hoja zenye manufaa kwao!!.Kama taifa haya ndiyo masuala yenye tija kujadili, hayo ya ushoga na usagaji ni aibu na fedheha kujadili