Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

Eti!!! Kipi ni tatizo kubwa Kwa watanzania wengi !?? Ni ushoga au umasikini uliotopea!?
 
Kulala kwenye nyasi ni asili yako na usiseme asili yetu... Kuna jamii zakitanzania ambazo zimezaliwa kwenye nyumba bora sisizojenga na matope...

Umaskini ni hali ya mtu au jamii kujitakia
 
Uwe na hela halafu litoto lako lisenge
Hapo ndio maji utaita manjota
Kumuelewa mtoa mada lazima uwe na akili ndefu!! Akili za oya oya ,kitandale tandale huwezi muelewa!?na inawezekana kabisa mmomonyoka huu wa maadali unasababishwa na umasikini uliopindukia!! Hii mada nzuri ikipata waelewa sio oya oya!!
 
Hiki chama cha ufipa kingefutwa tu,..msajili wa vyama vya siasa upo hapa? Usalama wa taifa hamkuliona hili likija?
 
Kumuelewa mtoa mada lazima uwe na akili ndefu!! Akili za oya oya ,kitandale tandale huwezi muelewa!?na inawezekana kabisa mmomonyoka huu wa maadali unasababishwa na umasikini uliopindukia!! Hii mada nzuri ikipata waelewa sio oya oya!!
Haha hahah hii ni kampeni iliyoanzia nchi zilizo endelea na iko heavily financed
 
Inawezwkana ni kweli! Kisa cha Mpwayungu kuingia huko ni kipato kidogo cha ualimu!! Maslahi ya walimu yaboreshwe kuepusha tamaa kama hizi za kupenda kitonga.
 
UJINGA
MARADHI
UMASKINI
Ushoga ni ujinga ndio maana unapigwa vita pia unasababisha umaskini sababu shoga hazai hivyo hazalishi kizazi kipya cha nguvu kazi

Kuzaliana huongeza idadi ya nguvu kazi isipokuwepo umaskini utatokea

Kupinga ushoga ni kupinga umaskini pia
 
Mtazamo wake inawezekana kabisa ni chanzo mojawapo cha ushoga lakini Pia alitakiwa kuangalia nchi zinazoongoza Kwa ushoga Duniani ni maskini? Ushoga ni mtindo wa kuambukuza tabia mbaya Kwa Binadamu na mtindo huu hauchagui nafasi ya uchumi utakayokuwa nayo.

Visababishi ni vingi lakini udhaifu wa Serikali katika kutekeleza MAJUKUMU yake ipasavyo nayo yana mchango mkubwa mfano kama kweli DAWA za Meno na miswaki inayodaiwa kuongeza homon za kike Kwa watoto wa kiume TBS na TFDA wapo wapi?

WAGENI wanatoa Rushwa na kuishi Nchini kiujanja na kuleta tamaduni zao Uhamiaji hata uwapelekee taarifa wanakuangalia na kukucheka.

Muhimu tusubiri awamu itakayokuwa serious ili kutekeleza wajibu wao na kuhakikisha nchi inaongozwa Kwa sheria na zinafanyiwa KAZI taarifa zote zinazoweza kusaidia kukomesha wahalifu walio ndani ya Serikali.
 
Miruzi mingi humpoteza mbwa. Mitanganyika Kila ishu inadandia tu hata ishu ambazo ni almost non-existent kwenye jamii zao. Mtu anapambana na ushoga ilhali hamjui shoga yeyote personally wakati Kuna maskini kibao around yeye. Hii inaitwa kuua nzi kwa nyundo
 

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. Matamko ya serikali ni matamko tu ila jukumu la ulezi ni lako we endelea kusubiri awamu iliyo serious ukidhani ndo itamlea mwanao
 
Kweli wewe una kibarua kuhamasisha ushoga. How much are you paid?
 
Machoko kila kukicha mnaleta mabandiko ya kutetea upumbavu wenu....
 
wewe jamaa ndio wale nini?????? USHOGA ni noma mazee,,,,ni bora kufa njaa kuliko kuwa shoga tajiri......WEWE KIUNO NINI???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…