Umati wa watu takriban 300,000 waandamana mji wa Marekani kuunga Israel mikono

Umati wa watu takriban 300,000 waandamana mji wa Marekani kuunga Israel mikono

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Israel kamatia hapo tu...
Hauwezi kuiondoa Israeli kwenye ramani ya dunia, amini usiamini itakupa tabu...Bahati Bukuku

View: https://www.youtube.com/watch?v=vbRCT38Y-Gs

AP23318681937519-e1699994045912-640x400.jpg

Nearly 300,000 people rallied in Washington on Tuesday at the March for Israel, calling for the release of the hostages held by terrorists in Gaza and invoking the Holocaust while condemning Hamas’s October 7 onslaught with a cry of “Never Again.”

Conference of Presidents of Major American Jewish Organizations CEO William Daroff said over 290,000 people attended the event, making it the largest pro-Israel gathering in US history.

Buses and flights to the US capital were organized by local Jewish federations, schools, synagogues, Israeli expatriate groups and Jewish community centers, while many more made their own way to the March for Israel.
 
Nearly 300,000 people rallied in Washington on Tuesday at the March for Israel, calling for the release of the hostages held by terrorists in Gaza and invoking the Holocaust while condemning Hamas’s October 7 onslaught with a cry of “Never Again.”
Wanaojitambua
 
Leader Hakeem Sekou Jeffries - Hamas lazima izikwe moja kwa moja isipate nafasi ya kufufuka toka udongoni kuendeleza ugaidi wake tena ....

Lazima tusimame na Israel kuhakikisha kampeni iliyoanza tangu enzi za dola ya Warumi kuwaondoa wayahudi katika ardhi yao ya asili haiwezi kufanikiwa..

Leader Hakeem Sekou Jeffries Remarks at the Rally for Israel

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZtcsYzTS_tc
Hakeem Sekou Jeffries is an American politician and attorney who has served as House Minority Leader and Leader of the House Democratic Caucus since 2023
 
Hawajitambui ... Wanamgambo wa hamasa wengi washatengenezwa toka walipoanza kuwaua wanawake na watoto kwa mabomu
 
Kuifuta Israel ni kitu hamtokuja kufaulu hata mzaliwe vizazi vya mazombi kote duniani, someni historia, hakuna aliyefaulu na kila aliyejaribu ilimpa tabu.

Hahaha... Mauaji ya halaiki mnayofanya mshatengeneza wanamgambo wa baadaye wengi sana ambao wanauchungu wa kuuliwa mama zao ..so tatizo lipo palepale
 
Hahaha... Mauaji ya halaiki mnayofanya mshatengeneza wanamgambo wa baadaye wengi sana ambao wanauchungu wa kuuliwa mama zao ..so tatizo lipo palepale

Usichokijua kila Muisrael huzaliwa na kukua akijua amezingirwa na mazombi ya kidini ambayo huwa yamefundishwa kuua Wayahudi, hivyo sio hao tu, ni wazi kila mfuasi wa hiyo dini ni potential HAMAS, hata nyie mlio huko Buza.
Lakini Mungu wa Wayahudi anaonekana kuwa na nguvu kuzidi wa kwenu maana mumekwama miaka yote.
 
Mungu wa wayahudi si USA na EU
 
Hao waarabu wenu wamekwenda kuzaliana kwa nchi za watu, sasa wenye nchi zao wameanza kufanya maandamano.
Halafu waarabu wanawagonga sana mabinti wa kizungu huko ulaya, karibia kila familia ya kizungu ina damu ya waarabu
 
Back
Top Bottom